Frank Mwalembe amnyima usingizi Aeshi jimbo la Sumbawanga Mjini

Nakubaliana na wewe mkuu chilumendo kuhusu issue ya serikali za mitaa na ninawapongeza sana kwa ushindi ule,,,hiyo ndiyo siasa ya kweli na tunajipanga kusahihisha makosa kwenye uchaguzi wa mwezi october,,tuwapime wagombea bila kujali chama kwa mabadiliko ya kweli ya tanzania yetu

Ahaaa! Leo ndio unawataka watanzania wasichague mgombea kwa misingi ya chama sio? Kwasababu CHADEMA kiliwagaragaza vibaya katika uchaguzi wa serikali za mitaa na kama unalijua hilo kwanini mwaka 2010 hamkumchagua Dk Slaa ambae alikua mgombea bora kuliko Wote?
 
Acha ushabiki maandazi huyo maembe anakumbuka shuka kumekucha. Siasa za wafipa hazipo ivo,,ajipange 2020. Wapinzani wapo safii.
 
Naomba kuuliza, Huyu Frank ni UCLaS/ARDHI Alumni??

eimen,
ndiye yeye frank mwalembe, aligraduate uclas kipindi hicho ni sehemu ya udsm around 2008 au 2009 hivi baada ya kupambana sana na mfipa mwenzie marehemu dr.Kapoli aliyekua lecturer pale uclas na mikikimikiki mingine ya lmv,aliwahi kuwa waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi pale ardhi university,,,,toka baada ya kumaliza amekua afisa ardhi wilaya y a kibaha,,,aliwahi kukaimu ukuu wa idara ya ardhi na maliasili kwa miaka ka mitatu hivi
 
aambunge swax mwaka huu ni kutoka Ukawa chadema) mh: IKUWO

heheheh.
mkuu ikuwo ana credibility gani ya kuwakilisha wana Sumbawanga bungeni?kwa uwezo gani wa kujenga hoja aliokua nao?kwa uwezo gani wa kupambanua na kutafsiri vifungu vya sheria alonao?au ni kwa sababu tuh atagombea kupitia ukawa?na kama ni ivyo vijana tunafanya maamuzi kishabiki bila kupima hoja tunalipeleka wapi taifa hili?
kama unapima hoja umepata fursa ya kumsikiliza frank mwalembe na watia nia wengine kupitia vyama vyote kuwa wamejipangaje kuiwakilisha swanga bungeni na kutatua kero za wananchi ukalinganisha na hoja za ikuwo?
 
Sumbawanga mjini habari ya mjini ni Ikuwo (CDM) wengine wote tupa kule

Bless yule mwenye frame ya nguo mtaa wa kiwelu?
Anyway mkuu bless,,lets be rational kama vijana,,,ikuwo ana hoja ipi ama record zipi za kutetea maslahi ya walio wengi na wanyonge,,,ana uwezo kiasi gani wa kupambanua sheria na amejipangaje kulisimamia bunge vilivyo??au nae anatafuta ubunge kwa ajili ya kupata misamaha ya kodi kama kina aeshi na wabunge wengi wa ccm na chadema,,,na kupata ile diplomatic status n protection kama issue ya zile diplomatic bagz akiwa nje ya nchi?,,je ni sahihi kina mwalembe na wenzie kutosikilizwa hoja zao na kupimwa kabla ya kupigiwa au kutopigiwa kura yako?
 
Acha ushabiki maandazi huyo maembe anakumbuka shuka kumekucha. Siasa za wafipa hazipo ivo,,ajipange 2020. Wapinzani wapo safii.

Heshima kwako rafiki yangu aloycious,
Unajua wafipa wamekua wakidharaulika sana among wageni wanaoishi na kufanya shughuli zao kila siku apo swanga,,mimi si mbaguzi in anyway na sikua na tatizo lolote na issue wageni kukamata njia kuu za uchumi kwny wilaya hiyo mpaka hapa karibuni niliposikia kauli fulani kutoka kwa rafiki zangu kama wa4 hivi ambao wote si wafipa kwa asili but wanafanya shughuli zao,,,wafipa wanadharaulika na watu waliowapokea,,kulikua na uwezo wa kutomuuzia mgeni yeyote ardhi bali wenyewe kwa wenyewe but wafipa hawakuwahi kufanya ivyo,,,itafika kipindi wataamua kuwa wabaguzi n am sure it will be really bad,,,but hilo litakua limesababishwa na elements za wageni,,,na ikifikia stage wakatumia silaha iyo ao kina ikuwo hawatakua na chao,,,so far siasa za wafipa ziko fair sana na wanasikiliza mtu yeyote bila kujali ameanza kutoa misaada since 2013 or kaja recently mkuu trust me
 
Mkuu mwasu naamini wewe ni kijana unaeyatazama mambo critically,,so far ni mwana ukawa gani ambae anania ya kuchukua jimbo na sera zake zilizokuconvice kumpa kura?au ndo yale yale ya kupigia kura chama?
Kwa safari hii, Sumbawanga watachagua chama na sio mgombea kwa kuwa wana hasira kudhulumiwa waliyemtaka 2010. Hata Ikuwo atapita tu kupitia UKAWA
 
mossad 03

Sumbawanga manispaa ni ya UKAWA!!huyo frank hata hata hafaamiki!! hakuna kitu pale..
CCM imeshinda mitaa ambayo ni ya walevi? mtu ambae ana akili timamu anajua hawezi chagua majizi ambayo yamewatesa wananchi pale!!!
ccm ilinyang'anya mashamba..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom