Frank Mwalembe amnyima usingizi Aeshi jimbo la Sumbawanga Mjini

mossad 03

JF-Expert Member
May 15, 2013
523
439
Wakuu,

Wakati bunge la bajeti likiwa linaendelea Dodoma,mbunge wa sasa wa Sumbawanga mjini asiye na ushawishi mkubwa ndani ya chama ndugu Aeshi amekuwa akihangaika huku na kule kuhakikisha anai combat kasi ya wagombea walioonesha nia ya kugombea kupitia CCM na hasa nguvu ya kijana aliejitokeza na kuonekana ana ushawishi mkubwa kati ya makundi mbalimbali ya chama na hasa vijana ndani ya chama ndugu Frank Mwalembe.

Kumekuwa na wanaCCM wengi walioonesha nia ya kuchuana na Aeshi wenye uzoefu katika siasa kama Fortunatus Fwema lakini ujio wa huyu kijana Frank Mwalembe umeonekana wazi ukimnyima usingizi Aeshi na kushindwa kutulia kuendelea na majukumu yake ya kuisimamia serikali na kuwakilisha wananchi wake.

Ingekuwa ni busara Aeshi na wabunge wengine wa upinzani na chama tawala wasio na uhakika wa kurudi bungeni awamu ijayo watulie bungeni kufanya kazi waliyotumwa na vyama vyao na wananchi vitawapima kwa utendaji wa miaka yote mitano na si kuhangaika kama hizi sarakasi za muheshimiwa Aeshi kucombat nguvu ya walioonesha nia ya kuwania kiti chake kupitia Chama cha Mapinduzi.

Support na nguvu ya vijana anayopewa Frank Mwalembe isikufanye ushindwe kuwatumikia wanachi wako,time will tell.
 
Huyu Aeshi hajawahi shinda ubunge bali alipewa na mahakama, kwa kifupi hata huyo Frank hana chake hapo jimbo ni la UKAWA.
 
Aesh ni mbunge wa Sumbawanga mjini sio vijijini! hata hivyo msisumbuke sana jimbo limeshachukuliwa na Chadema(UKAWA).
 
Inaonekana we ndo frank mwalembe, niko Sumbawanga wala sijawahi msikia huyo unayemtaja afu kwa ccm jimbo la sumbawanga hakuna mtu wa kushindana na Aeshi anahonga sana wajumbe na ndio anaonekana ana hela kuliko wagombea wote wa ccm, MWISHO WA SIKU JIMBO NI LA UKAWA MANA UKAWA HAWANA MPINZANI SUMBAWANGA MJINI.
 
sumbawanga mjini hata angegombea kikwete hapiti jimbo ni la ukawa kupitia chadema,au huna taarifa za uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Huyu Aeshi hajawahi shinda ubunge bali alipewa na mahakama, kwa kifupi hata huyo Frank hana chake hapo jimbo ni la UKAWA.

Mkuu mwasu naamini wewe ni kijana unaeyatazama mambo critically,,so far ni mwana ukawa gani ambae anania ya kuchukua jimbo na sera zake zilizokuconvice kumpa kura?au ndo yale yale ya kupigia kura chama?
 
Aesh ni mbunge wa Sumbawanga mjini sio vijijini! hata hivyo msisumbuke sana jimbo limeshachukuliwa na Chadema(UKAWA).

Thanx mkuu domy,,vipi unaendeleza kasumba ya kuchagua chama au na wewe huwa unawasikiliza na kuwapima wagombea kama ambavyo democrasia ya kweli inataka?
 
sumbawanga mjini hata angegombea kikwete hapiti jimbo ni la ukawa kupitia chadema,au huna taarifa za uchaguzi wa serikali za mitaa

Nakubaliana na wewe mkuu chilumendo kuhusu issue ya serikali za mitaa na ninawapongeza sana kwa ushindi ule,,,hiyo ndiyo siasa ya kweli na tunajipanga kusahihisha makosa kwenye uchaguzi wa mwezi october,,tuwapime wagombea bila kujali chama kwa mabadiliko ya kweli ya tanzania yetu
 
Mkuu mwasu naamini wewe ni kijana unaeyatazama mambo critically,,so far ni mwana ukawa gani ambae anania ya kuchukua jimbo na sera zake zilizokuconvice kumpa kura?au ndo yale yale ya kupigia kura chama?

napigia kura mgombea, na ktk ccm hakuna anaeweza leta la maendeleo sera zote wamefeli
 
Mkuu Aeshi anatumia nguvu ya pesa kushawishi,lakini kama utakuwa unakumbuka uchaguzi wa 2010..chadema walionyesha upinzani mkali sana...kwaiyo mwaka huu ukawa wanaweza kuchukua jimbo.
 
Aeshi ana kashfa ya Kulawiti Mhindi na Picha zipo
CCM na huyo wa CCM wakae Pembene
 
Mkuu mwasu naamini wewe ni kijana unaeyatazama mambo critically,,so far ni mwana ukawa gani ambae anania ya kuchukua jimbo na sera zake zilizokuconvice kumpa kura?au ndo yale yale ya kupigia kura chama?

kupata mgombea mzuri ccm ni sawa na kutafuta bikira kwenye wodi ya wazazi
 
Nakubaliana na wewe mkuu chilumendo kuhusu issue ya serikali za mitaa na ninawapongeza sana kwa ushindi ule,,,hiyo ndiyo siasa ya kweli na tunajipanga kusahihisha makosa kwenye uchaguzi wa mwezi october,,tuwapime wagombea bila kujali chama kwa mabadiliko ya kweli ya tanzania yetu

Sijui kama kule kasense watarudia kosa la kipindi hicho. Na ujue ukiondoa Kizwite na Chanji ya UKAWA maeneo ya Katandala ccm inapumlia machine kule Pito nako jamaa wanaingia kwa kasi. Shamba la malonje unajua tena linavyotesa watu wa ulinji na mawenzusi na Majengo watu UKAWA wamekwishajipanga labda matumaini kidogo yako ntendo. Ushauri wangu wapeni wananchi mgombea bora na siyo bora mgombea. Hivi mazwi anarudi yule mzee?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom