Ni kweli kabisa mkuu,Mi nashauri aapishwe kwa mara ingine,,zile ni presha tu za kutoamini anakua waziri,π
Da, alitakiwa aandaliwe kisaikolojia.......Haituhusu, atakua na elimu ya vimemo huyo.
Uchaguzi gani wewe, kateuliwa huyoAmrudie mungu, atubu aliyofanya kwenye uchaguzi, ajiudhulu tu, Bwege arudishiwe ushindi wake.
Jiwe amesema,Kapigwa kipapai over!