zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,220
- Thread starter
-
- #81
Hapa mi hua sielewagi.
Mfano Floyd Myweather anapigania uzito gani?
Au Manny Paquiao anapigania uzito gani?
Maana kila siku huyu Cheka anawadunda mabondia wa mitaani tu, why not wale maarufu.
Iko hivi, mnaweza mkaletewa mhuni tu wa mitaani huko Marekani mkaambiwa ni bondia mkalipia kiingilio.
We ushaona wapi eti Cheka anapigana na Francis Miyeyusho kugombea ubingwa wa Dunia? Kuna mikanda mingapi ya Huo uzito kwenye la kila chama ?
....Sana! Afu nakusalimu mkuu.

Huyo si mwanamke au? Hii salam ya kiume bana.....
Kwa hiyo mwanamke hawezi kuwa mkuu?
Kaka unaniudhi! Leo siji kula vitumbua!
Kwani malipo yanafanyika ndani ya uwanja mara tu baada ya mpambano? Kuhusu uwanja kuwa tofauti na picha walizoonyeshwa kwanini sasa walikubali kumuingiza mchezaji wao ulingoni wakati wanaona masharti yamekiukwa, je angeshinda huyo mwenzao bado wangeleta hayo malalamiko?
CHEKA hUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!
Wasubiri kidogo gas iteme wachukue gas huko Mtwara!Chezea bongo kwa utapeli wewe!
hahahhaa yeah wacha wajidai huko kwenye mikataba ya kisiasa. Lakini wakiingia anga zetu, lazima walie.Wasubiri kidogo gas iteme wachukue gas huko Mtwara!Chezea bongo kwa utapeli wewe!
Na wachezaji wa mpira wangekuwa kama Cheka nchi hii ingekuwa mbali sana kisoka!Tatizo lao badala ya kuconcetrate kwenye mpira wanaenda kushiriki video za ngono kama ile ya Mrisho Ngasa tuliyoina humu JF last week!Hongera sana Cheka,hongera sana Watanzania!
Kabebwa!