Francis Cheka (TZ) vs Phil Williams (US)

Francis Cheka (TZ) vs Phil Williams (US)

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,220
cheka vs drill.png

Briefly...

Phil Williams Records,

sex male
birthdate 1977-07-12 (age 36)

division super middleweight
rating

48 / 914

9 / 199
height 5′ 11″ / 180cm
reach 75″ / 191cm

US ID 072956

alias The Drill

country USA

residence Minneapolis, Minnesota, USA

birth place Queens, New York, USA

won 12 (KO 11) + lost 5 (KO 3) + drawn 2 = 19
rounds boxed 84 KO% 57.89

Francis Cheka

Global ID 185091

sex male

birthdate 1982-04-15 (age 31)

manager/agent register

division super middleweight

rating

32 / 914

1 / 17
height 5′ 10½″ / 179cm

country Tanzania

residence Morogoro, Tanzania

birth place Dar-Es-Salaam, Tanzania

birth name Francis Boniface Cheka

won 29 (KO 16) + lost 7 (KO 4) + drawn 1 = 37
rounds boxed 247 KO% 43.24

.....wale wadau watakao kuwepo maeneo ya Diamond Jubilee Hall, Dar-Es-Salaam, watujuze. vacant World Boxing Federation super middleweight title.
 
Dah! Nimekuja mbio nikijua kuna link itakayofanya tuone ndondi LIVE?!!!
 
sasa mbona hamtupi update zozote muazisha mada yupo wapi
 
Wana JF mlioko ukumbini, tafadhali tunaomba updates za mapambano yanayoendelea hapo.
 
mpaka now hakuna chochote kila hata ngumi za utangulizi tu bado hazijaanza lakini wanajivutavuta sana au kwakuwa hakuna watu wengi labda ndio maana wana vuta vuta time ili watu waingie ingie kwanza
 
mpaka now hakuna chochote kila
hata ngumi za utangulizi tu bado hazijaanza lakini wanajivutavuta sana
au kwakuwa hakuna watu wengi labda ndio maana wana vuta vuta time ili
watu waingie ingie kwanza

pamoja mkuu, tuhabarishe.
 
mpaka now hakuna chochote kila hata ngumi za utangulizi tu bado hazijaanza lakini wanajivutavuta sana au kwakuwa hakuna watu wengi labda ndio maana wana vuta vuta time ili watu waingie ingie kwanza

Asante sana Mkuu kwa update, endelea kutujuza.
 
mpaka now hakuna chochote kila hata ngumi za utangulizi tu bado hazijaanza lakini wanajivutavuta sana au kwakuwa hakuna watu wengi labda ndio maana wana vuta vuta time ili watu waingie ingie kwanza

Vp idadi ya watu hapo
 
mchumia tumbo kashinda round ya 4
simba wa tunduru kapigwa kwa point
kamote kashinda kwa point
now ni maugo na mashali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom