Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 672
- 1,390
Moja ya sababu iliyo nifanya kutojifunza flutter ni matumizi ya Dart.
Mostly tukiwa tunafanya project mpya tunafanya programming languages evaluation hii process inatupa muongozo wa kuchagua language gani tunatumia backend pia kama ni uchaguzi wa framework both backend na frontend tunachagua hapa.
Dart sijawahi kukutana yaho hata kwenye proposed language. Kuanzia hapo nilivyo sikia flutter inatumia dart mm mwenyewe nikasema hapo hamna kitu bora niwaachie ma-beginner
Juzi juzi hapa ile kusalimia ndugu na jamaa, jamaa yangu akaniambia cyber nafanya project ya flutter ndo inanifanya niwe bize,
Nikashangaa mambo tena ya dart. Baadae Nikapata mda wa kufanya google search kigodo. Aise flutter ni kali!!. Yani kama mtu unafanya mid range project development ya app unaweza ukatumia flutter.
Kwa maoni yangu. Kama project yako ni labda inahusiana na mambo ya utalii, booking ya hotel au nyumba, ecommerce, sijui bima ni bora ukatumia flutter kwenye UI ya application yako itakupa muonekano mzuri na angavu.
kama mimi flutter ningeitumia ivi:
-Ninge code APIs kwa language ninayo ijua viziri. Hapa ningetumia framework labda rail ambambo ninge code apis ambazo nita zi link na flutter kwenye development ya app
- kwa sababu nitafanya kazi sana na API kwenye development ya app ningetumia Go, node, php, python au ruby kama back end. Kwa maana ya kupata urahisi kwenye kuunda na kufanya authentication ya api calls.
Japo sijapata mda wa kisoma kiundani sana nadhanii hii ni moja ya UI rahisi sana kwenye app development yani ni kama mtu una code website
Nadhani mpaka huu mwaka uishe nitakua nimesha i master flutter
Wakuu nyie mmeionaje flutter na dart kiujumla.??