Frames zinakodishwa kimara mwisho...

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Frame za biashara kubwa zinapangishwa kimara mwisho ukifika mwisho kunja kulia kama unaelekea uwanja wa tanesco...ukikaribia kwa karibu na darajani.....zimekamilika umeme unaingia wiki ijayo ziko barabarani....kwa mawasiliano zaidi

wasiliana na 0713 458 722

ondieki
 
frame kubwa za biashara zinakodishwa kimara mwisho kubwa bei maelewano ziko barabarani
ukifika kimara mwisho ingia kushoto uliza kimra tanesco uwanjani...kama unaelekea kwa marandu...ukifika hapo piga 0713 458 722

utapata msaada...ama uliza kwa marandu watakuleta ziko opposite na kwa bw marandu ...tamu na zinavutia...kazi kwenu wana JF

BEI 75,000/ANNUAL

85,000/ SIX MONTHS
 
weka picha tuzione,
maelezo yako yapo butu " ukifika kimara mwisho ingia kushoto" swali ukifika Kimara mwisho ukitokea wapi ndio ukate kushoto Morogoro au Ubungo
"Ziko barabarani" unamaanisha ni barabara kubwa ya Morogoro au ni street roads
 
Unakata kushoto ukitokea ubungo mkuu....ziko barabarani street roads
 
Mkuu hili tangazo lako limekosea njia lilitakiwa kuwa kwenye matangazo kuleee sasa nashanga lipo kwenye Elimu
 
Mkuu hili tangazo lako limekosea njia lilitakiwa kuwa kwenye matangazo kuleee sasa nashanga lipo kwenye Elimu
__________________

THANKS MKUU ....UNAJUA NILIFUNGUA PC ASBH......NIKAKUTA THREAD ZA SIASA NA NYINGINEZO KAMA TATU HIVI SIZION IKABIDI NIITUPE UKO..ILA BAADAE NIKAONA PUBLIC FORUM + IKAFUNGUKA AHSANTE KWA MAELEKEZO MKUU FM
 
frame kubwa za biashara zinakodishwa kimara mwisho kubwa bei maelewano ziko barabarani
ukifika kimara mwisho ingia kushoto uliza kimra tanesco uwanjani...kama unaelekea kwa marandu...ukifika hapo piga 0713 458 722

utapata msaada...ama uliza kwa marandu watakuleta ziko opposite na kwa bw marandu ...tamu na zinavutia...kazi kwenu wana JF

BEI 75,000/ANNUAL

85,000/ SIX MONTHS

Mama mia,

Heshima yako mkuu, niko napiga hiyo simu uliyotoa lakini haipokelewi .....
 
oooooooooooooohhhhhhhhh only dat.that ma sweetheart..4rever
 
Ni kiasi cha dakika ngapi(ikiwa natembea kwa miguu) kutoka morogoro road?

ukiitaji utantafuta unaweza nicheki mie ama mamamia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom