Frame la biashara linauzwa

Nellyseven

Member
Joined
Nov 24, 2018
Messages
78
Points
125

Nellyseven

Member
Joined Nov 24, 2018
78 125
Fremu yenye vifaa umeme inauzwa, imelipiwa kodi ya miez6 na itaisha Mwez November. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja na discount kubwa. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii lazima uchukue na fremu. Vyote kwa pamoja vinagharimu sii zaid 3M bei ya hasara. Maongezi yapo. Ipo Tegeta kwa Ndevu Dar es Salaam. PM kwa maelezo zaidi.
 
Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Messages
309
Points
250

Udochi

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2015
309 250
Fremu yenye vifaa umeme inauzwa, imelipiwa kodi ya miez6 na itaisha Mwez November. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja na discount kubwa. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii lazima uchukue na fremu. Vyote kwa pamoja vinagharimu sii zaid 2.5M bei ya hasara. Maongezi yapo. Ipo Tegeta kwa Ndevu Dar es Salaam. PM kwa maelezo zaidi.
Weka picha.

Pia pango ni Sh. ngapi kwa mwezi ?
 
Mkangaf

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2014
Messages
200
Points
250

Mkangaf

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2014
200 250
Fremu yenye vifaa umeme inauzwa, imelipiwa kodi ya miez6 na itaisha Mwez November. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja na discount kubwa. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii lazima uchukue na fremu. Vyote kwa pamoja vinagharimu sii zaid 2.5M bei ya hasara. Maongezi yapo. Ipo Tegeta kwa Ndevu Dar es Salaam. PM kwa maelezo zaidi.
kweli vyuma vimekaza
 
HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
2,832
Points
2,000

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
2,832 2,000
Fremu yenye vifaa umeme inauzwa, imelipiwa kodi ya miez6 na itaisha Mwez November. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja na discount kubwa. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii lazima uchukue na fremu. Vyote kwa pamoja vinagharimu sii zaid 2.5M bei ya hasara. Maongezi yapo. Ipo Tegeta kwa Ndevu Dar es Salaam. PM kwa maelezo zaidi.
Mkuu umeshauza tayari?
 
Forum statistics

Threads 1,344,349
Members 515,432
Posts 32,816,931
Top