Fremu ya biashara ya vifaa vya umeme inauzwa. Ina-run vizuri

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Nov 24, 2018
363
631
Fremu yenye vifaa umeme inauzwa. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja.. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii lazima uchukue na fremu.

Vyote kwa pamoja vinagharimu sii zaid 3M bei ya hasara. Maongezi yapo. Ipo Tegeta kwa Ndevu Dar es Salaam 0784-211 575
 
Back
Top Bottom