0909Hekima
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 226
- 66
Napangisha frame ipo kariakoo, mtaa wa kariakoo na sikukuu. Ni kubwa na mpya. Ni centre ya biashara, kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0783181838

Mkuu, tafadhali nijulishe mtaa iliyopo, ukubwa wake sqm ngapi? na pango linaanzia ngapi. Inbox hizo details kisha nijue kama tunaweza kufanya biashara.
Bei plz,picha nayo
"Vox popoli vox dei"
nasubiri mkuuIpo mtaa kariakoo na sikukuu. Info nyingine naku PM mkuu.
Napangisha frame ipo kariakoo, mtaa wa kariakoo na sikukuu. Ni kubwa na mpya. Ni centre ya biashara, kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0783181838
Chezeya Mwakembe weye!!Kweli biashara imekata, frame za k'koo zinatangazwa?
Kweli biashara imekata, frame za k'koo zinatangazwa?
Imefika sehemu inatangazwa duh! Afu mbona sijaelewa kariakoo na sikukuu ndo mtaa gani mkuu

Weka bei bana.