Kwani kuna madhara gani kwa nchi, iwapo hiyo UNESCO italiondoa hilo eneo la Selous kutoka kuwa hicho kinachoitwa alama za turathi za dunia?Sawa mkuu....
Nami nitendee haki, katika hizo hekari 1000 unazosema ,Selous imebakiwa na hekari kiasi gani ?!
Unataka tujadili huku ukiuita msimamo wako ndio wa kizalendo. Tukihitilafiana na wewe bado tutakuwa wazalendo kwako? Pili, hivi UNESCO wamekataza bwawa au wanataka tujieleze kwa nini sehemu hiyo ibaki kuitwa urathi wa Dunia? Hatutaki kuulizwa kuhusu jambo ambalo UNESCO ina usemi nalo?
Mkuu bado utalii wetu unategemea USHAWISHI WETU wa kuvitangaza vivutio huko nchi zilizoendelea.....Kwani kuna madhara gani kwa nchi, iwapo hiyo UNESCO italiondoa hilo eneo la Selous kutoka kuwa hicho kinachoitwa alama za turathi za dunia?
Sasa mbona Tanzania ina vivutio lukuki vya utalii! Hata hiyo Selous yenyewe ikiondolewa huko kwenye hizo Turahi za dunia, si bado itaendelea kubakia kuwa mbuga/hifadhi ya wanyama kama ilivyo kwa Mikumi, nk!!Mkuu bado utalii wetu unategemea USHAWISHI WETU wa kuvitangaza vivutio huko nchi zilizoendelea....
..inategemea hiyo 3% ina umuhimu / unyeti gani ktk hifadhi nzima ya Selous.
..kwa mfano, moyo wa binadamu ni mdogo kuliko mguu.
..Lakini sote tunaelewa kwamba pamoja na udogo wake, moyo ni muhimu kwa mwili wa binadamu kuliko mguu
Umeandika vizuri ila umekosea huo mstari ulioandika "kipenzi chetu hayati Magufuli"Miaka kadhaa baadae chini ya utawala wa kipenzi chetu hayati Magufuli
#TaifaKwanza
#IdumuJMT
Hakika mkuu....UNESCO lazima wawe matured, kwanza lazima wajue eneo hilo ni mali yetu na sisi ndio tunatakiwa tufaidike nalo kwanza kutokana na mali asili zilizopo hapo, sasa katika 100% ya eneo hilo tumechukua 3% kwa ajili ya maendeleo ya nchi nzima ie ...
Exquisite 👊👍👍😍🙏🙏Hakuna kitu kama hicho, ni roho mbaya za mabeberu tu, wao hawataki tujitegemee katika nishati ya umeme kwani nishati ni njia moja ya kuikomboa nchi kiuchumi hilo wao hawalitaki...
Ndivyo ilivyo haswa au ni mambo tu ya kwenye makaratasi hayo?.Kutumia 3% ya ardhi yetu na kuacha 97% ya hiyo ardhi kwa ajili ya dunia na sisi wenyewe hapo kuna kosa gani??
Unaongea maneno mengi kama mtu "uliyepagawa".....Majeshi ni propaganda camps to help rulers rule over the citizens
Uzalendo ni conceptya kipumbavu na duniani hapa "uzalendo" umeleta vifo vingi kuliko kitu kingine chochote...
Sawa mkuu....Hivi hawawezi kuzalishs umeme utokanao na upepo???
Maana pepo zote hizo bado nchi inalia masikini na kukomaa na maji..
Hapo sijataja gesi pia
🤣🤣Ok mkuu wangu ha ha ha ila "CHETU" huanzia na "mbili"....katika hilo tuko:Umeandika vizuri ila umekosea huo mstari ulioandika "kipenzi chetu hayati Magufuli"
Naomba mtoa mada usituhusishe sote, aweza kuwa kipenzi chako lakini siyo kipenzi changu.
Ndivyo ilivyo haswa au ni mambo tu ya kwenye makaratasi hayo?.
MATAGA kwenye ubora wenu. Ila ongeandika "kipenzi cha baadhi ya Watanzania"🤣🤣Ok mkuu wangu ha ha ha ila "CHETU" huanzia na "mbili"....katika hilo tuko:
1)Jumbe Brown
2)JohntheBaptist
3)Idugunde
4)Mkaruka et al🤣
Shukran mkuu wangu Rodwell🙏Nimeukubali sana uandishi wako,hasa unapotumia maneno kama Bioanuai,Turathi,Mbuga tengefu.
Naomba unisaidie tafsiri ya maneno,Dhima na Turathi.
Exquisite 👊👍👍😍🙏🙏
Kama dunia inaogopa kiitwacho UHARIBIFU wa mazingira ,basi tusijenge nyumba.....kwani nao ni UHARIBIFU WA MAZINGIRA ....
Wenzetu wa ulaya ,na sisi tungeamua kuishi tu katika MAPANGO ,kuwinda na kurina asali tu..hata KILIMO ni UHARIBIFU wa BAIOANUWAI.....