Four years, Four interviews

Four years, Four interviews

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,040
Reaction score
858
Habari wadau,

Ebana natumai mko salama wadau, nimeona nishare nanyi experience yangu kuhusu suala la ajira maana wahanga tupo wengi.

Mwenzenu tangu nimalize chuo nimeambulia interview NNE(4) tokea 2010 ni kama wastani wa interview moja kwa mwaka na bado sijafanikiwa.

Nishatuma idadi isiyohesabika ya barua online na posta bado tatu bila, nachoshukuru Mungu ni sijakata tamaa. Biashara hadi ya kuuza karanga za mayai nishafanya lakini vikwazo ni vingi.

Hivi sasa nafikiria kuuza samaki wabichi kutoka Tanga au Dar, kama. kuna mtu anaweza kuwa supplier wangu PM yako ni muhimu, nipo Dom

Ushauri kwenu wadau tusio na ajira ni tusikate tamaa kwasababu wengine wanafikiria hata kujiua, iko siku tutafanikiwa kwa uwezo wa MOLA
 
Stop being a shallow thinker basing your life on a dream of getting employed.

Have a plan B and C in any event lest you get disappointed in the advent of failure of plan A.
 
Stop being a shallow thinker basing your life on a dream of getting employed.

Have a plan B and C in any event lest you get disappointed in the advent of failure of plan A.

Thank you great thinker
 
Stop being a shallow thinker basing your life on a dream of getting employed.

Have a plan B and C in any event lest you get disappointed in the advent of failure of plan A.

Are you employed or self employed? I do have a plan B, try again to re-read twice or thrice my thread then you will realize how silly your comment is,

We are also great thinkers
 
Are you employed or self employed? I do have a plan B, try again to re-read my thread then you will realize how silly your comment is,

We are also great thinkers

A plan B after 4 years? Splendid indeed... plan C comes after what ?15 years.
 
Kada ya wasomi kama wewe itakapoingia kwenye biashara kutakuwa na tija na ufanisi zaidi na pia hatutaona migomo isiyo na tija kama hii ya EFDs.

But kuwa muangalifu na aina ya biashara unataka kufanya na pia fanya research za kutosha, especially biashara yenye risk kubwa kama ya PERISHABLE goods. Samaki mkuu akioza mmoja wote wameoza na mtaji wenyewe huo wa kusotea ni noma. Fanya research ya kutosha kabla ya kuimplement your business idea
 
vema walau umewatia moyo vijana wote ambao bado hawajabahatika kupata ajira kama wewe
Lakini hata hivyo mi naamini huko kwenye biashara utafanya vizuri kikubwa tu ni kutokufanya biashara kwa mazoea fanya biashara kwa malengo na umahiri wa hali ya juu
KUMBUKA one day yes..!!
 
Thank you indeed, nitaufanyia kazi
 
vema walau umewatia moyo vijana wote ambao bado hawajabahatika kupata ajira kama wewe
Lakini hata hivyo mi naamini huko kwenye biashara utafanya vizuri kikubwa tu ni kutokufanya biashara kwa mazoea fanya biashara kwa malengo na umahiri wa hali ya juu
KUMBUKA one day yes..!!

Nashukuru mdau
 
Daaah pole mkuu. Inasikitisha kwa kweli.
 
Mdogo wangu u ve a will and am telling you that you woll c the way.don't give up

Alisemaga its a strugle everyday you ve got to hold on........
 
HUHITAJI KUJILAUMU KIAS HICHO, NMEMALZA CHUO NIKIWA NA PC laptop tu. lakin nilienda shule ya kata kuomba tenda ya kuprint na kopy mitihan ya muhula na weekly test, shule ina wanafunz 250, mitihan 9, kila mtihan page 2 had 3. kopy nilikuwa naenda kutoa kwa wale wa 30/50 wao nawacharge 100.
mathematicaly
9x3x250=6750pagesx100=675,000/=
gawanya kwa 2 maana bei hali ni 50, so proft ni lak tatu, hapo nkanunua photocopy machne, duh this more and more
 
Report from Georgetown centre on education and the workforce examined salary and unemployment data relating to experienced college graduate degree holders. The following are the 10 useless graduates.

10. Human resource and personel development.

9. Criminal justice and fire protection.

8. Commercial art and graphic design.

7. Music.

6. Mass media.

5. Marketing and market research.

4. Chemical engineering.

3. Information systems.

2. Pharmacy pharmaceutical science and administration.

1. Language and drama education.
 
You are so wrong man, you know what, you are trying to put everyone in your shoes, if your size is 30 mine is 10, I will never fit,

Kaka Mau unachoma mafuta bure, huyo Nanga anakumalizia nguvu zako bure, Mola ndo mtoaji besides bado kijana, una nguvu na afya, kikubwa pumzi maana tayari una ma idea kibao ya Ujasiriamali, ipo siku mola atasikia kilio chetu, mm mwenyewe tangu 2011 mpaka leo patupu, ila nashukuru maana nimejiajiri mwenyewe. Pamoja kaka, Ipo siku.
 
inategeana na ulichosoma pia mkuu! kuna course humu tz inabidi tu ukubali shida!
 
Back
Top Bottom