Four years, Four interviews

Four years, Four interviews

Kaka Mau unachoma mafuta bure, huyo Nanga anakumalizia nguvu zako bure, Mola ndo mtoaji besides bado kijana, una nguvu na afya, kikubwa pumzi maana tayari una ma idea kibao ya Ujasiriamali, ipo siku mola atasikia kilio chetu, mm mwenyewe tangu 2011 mpaka leo patupu, ila nashukuru maana nimejiajiri mwenyewe. Pamoja kaka, Ipo siku.

Pamoja sana mkuu, watu wakifanikiwa wanaona kana kwamba tusiofanikiwa mapema tu wazembe, kumbe kuna mambo mengi ni kikwazo katika mafanikio yetu
 
Nina shahada ya Business Administration, upper second

mkuu mbona course yako inajiuza?

huna hata uwezo wa kuandaa different business proposals halafu uka-present kwa watu wenye capital ukawashawishi kufanya biashara?

think again mkuu... sometimes watu waliosoma wana-make money kirahisi...
 
Naitumia elimu yangu mkuu, kwa mfano ingawa my capital is limited nimeshafanya biashara ya kuuza dagaa wa kukaanga kutoka Mwanza, wanafungwa kwenye pakti, challenge yake kubwa ni mzigo sometimes unapotea kwenye basi but it is very profitable biashara ikitoka mapema.

Nimeuza samaki wabichi from Tanga, mzigo ukifika ndani ya siku mbili umeisha, sababu kubwa ni kwamba nafuata wateja pale walipo( natembeza kwenye mashule, benki, hospital na halmashauri). Challenge zake ni kwamba usafirishaji and reliable suppliers hawapatikani.

Pia kwa sasa nauza mashuka ya mtumba kutoka Dar na hata Jana mzigo umeingia, challenge kubwa ni kwamba wakopaji ni wengi kuliko walipa cash kwasababu my target customers haswa ni wafanyakazi nao wategemea mshahara. Nashukuru Mungu sina bad debtors wengi, wengi hulipa on time, hii inalipa zaidi kuliko hizo nyingine
 
mkuu hamna kazi zisizokuwa na misukosuko..

nakwambia hata hawa unaowaona giant producers mpaka leo hii wana-face challenges nyingi sana!

kaka endapo ungeendelea kuuza samaki kwa shida hivyo, nakwambia one day ungepata reliable market na kuwa very strong kwenye soko! usikate tamaa mkuu!

hebu soma historia ya warren buffet.. hakuanza na mtaji wa mabilioni mkuu!

buffet bila shaka alianza na kuuza magazeti kama sijakosea, baada ya hapo akaanza kununua share kwa pesa kidogo sana mkuu!

sasa je, endapo angekumbana na challenge kama zako halafu akakata tamaa ingekuwaje?

sasa hebu niambie, where is buffet? its amazing!
 
Sijakata tamaa mkuu, ndio maana kwa sasa ukinisoma kule juu kwenye thread yangu utaona kwamba natafuta reliable suppliers wa samaki na mpaka sasa kuna wadau wamejitokeza kuwa suppliers, ninachofanya sasa ni cost and benefit analysis, hiyo ya dagaa nataka kuifufua tena kwasababu my potential customers wanaulizia.
 
mkuu nikutakie kila la kheri!

kumbuka SWOT analysis kila siku ya biashara yako!
 
Are you employed or self employed? I do have a plan B, try again to re-read twice or thrice my thread then you will realize how silly your comment is,

We are also great thinkers

Mkuu hapo kwenye red, hiyo lugha imekaaje!? Kwa mwendo huu oral interview itakusumbua sana.
 
yaani kama hujaelewa alichokimaanisha hapo, basi wewe ndio mwenye tatizo mkuu.

Wewe ni mbunge wa jimbo gani mkuu? Manake hapa umeongea kama wabunge wetu! Nimeandika kuhusu muundo wa hiyo lugha, sijakwambia kwamba sijamwelewa! Ukweli ni kwamba muundo wa hiyo lugha utamsumbua na hata wewe utakusumbua sababu waajiri nao wanapima hili eneo! Ndo maana unaambia uwe na "interpersonal communication skills" kama kigezo cha kukuruhusu wewe kutuma maombi yako ya kazi. Umeniambia kuwa nina matatizo, tatizo langu liko wapi mkuu!!??
 
Nina shahada ya Business Administration, upper second

Umeapply kwenye banks?
Though kwa graduate hela inakuwa kidunchu ila its worth it kwasababu unapata experience na if youre lucky utakua na kupanda.
 
But usiache kufanya biashara zako hata kama unakutana na changamoto.
Mungu akubariki na kila la kheri.
 
Wewe ni mbunge wa jimbo gani mkuu? Manake hapa umeongea kama wabunge wetu! Nimeandika kuhusu muundo wa hiyo lugha, sijakwambia kwamba sijamwelewa! Ukweli ni kwamba muundo wa hiyo lugha utamsumbua na hata wewe utakusumbua sababu waajiri nao wanapima hili eneo! Ndo maana unaambia uwe na "interpersonal communication skills" kama kigezo cha kukuruhusu wewe kutuma maombi yako ya kazi. Umeniambia kuwa nina matatizo, tatizo langu liko wapi mkuu!!??

haha, mimi mbunge wa Ukerewe(just kidding).. kwa hiyo wewe unadhani kila lugha inayotumika humu ndani ndio inayotumika katika applications? Usi-judge writing ability ya mtu katika applications kwa kuangalia anachoandika katika social networks, hapa tuna-socialize kwa hiyo yupo huru kutumia simple au complicated language ambayo wasomi kama wewe na mimi tunaweza kumwelewa, lakini kwa upande wa applications lazma atatumia simple, straight and understandable language na hatofanya tofauti na hapo eti kwa sababu ame-post complicated language kwenye mtandao.
 
Umeapply kwenye banks?
Though kwa graduate hela inakuwa kidunchu ila its worth it kwasababu unapata experience na if youre lucky utakua na kupanda.

OK nitaufanyia Kazi ushauri wako
 
haha, mimi mbunge wa Ukerewe(just kidding).. kwa hiyo wewe unadhani kila lugha inayotumika humu ndani ndio inayotumika katika applications? Usi-judge writing ability ya mtu katika applications kwa kuangalia anachoandika katika social networks, hapa tuna-socialize kwa hiyo yupo huru kutumia simple au complicated language ambayo wasomi kama wewe na mimi tunaweza kumwelewa, lakini kwa upande wa applications lazma atatumia simple, straight and understandable language na hatofanya tofauti na hapo eti kwa sababu ame-post complicated language kwenye mtandao.

Noted mkuu!!!
 
Back
Top Bottom