Wana jforum naomba kufahamishwa km foundation course inatumima miaka hii ya sasa na huwa inakuwaje kuwaje.??
NB jukwaa la elimu usijibu kidaku mbona majukwaa ya udaku yapo tu hujui kitu kaa pita kushoto kwenye huu Uzi watu wanashida ya kufahamu
Ndugu mbona mbali kabla hata wenyewe hawajaja? Jibu: ndio hipo lakini kwa sasa nadhani wenye kibali Cha kuendesha kozi hiyo ni open university pekee. Kwa maelezo zaidi visist www.out.ac.tz au tawi lao lililo karibu nawe. Matawi yako mikoa yote tanganyika na zanzibar na baadhi ya walaya tanganyika na zanzibar