Forums mpya kwa ajili ya discussions za kitaaluma na kijamii

Wazo Lako N Zur Kama Alvo Sma Mdau Hapo Juu Heb Deal Na Elimu T Hat Kama Utatumia Jna La Forum Bt Deal Hbu Ungeboresha Na Kuwa Hv N Waz T,
Hisab Forum
Fizikia Forum
.....
Maana Hap Kuna Mizik Mara Muv Na Machizo Hap Utawachangany Wafuas Coz Anawez Kuwa Na Leng Zur La Kusoma Akaishia Kuangalia Ama Kupakua Mizik Deal Na Elimu Ndgu Mengine Wadau Wengine Wataongeza
Thanks kwa mchango, litafanyiwa kazi
 
Mkuu Firewall, nimejaribu kufungua nakuta kutokana na statistics yenu members walio attempt wengi wamekuwa kwenye "General Forums" na sio " Academic & Professional Forums" nafikiri katika hili unaweza jifunza kuwa audiance yako inapenda nini?

Kwa ushauri wangu tunahitaji sana forums ambazo zitakuwa zinadeal na Professional issues ili kujiimarisha maana formal education peke yake haitusaidii maana wengi wanafaulu mitihani lakini wanakosa skill hivyo kukiwa na professional forums itasaidia professions wengi kupata skills za kuwasaidia katika shughuli zao
 
Ndiyo lengo hasa la forums hizi, kuwezesha watu kushare skills katika taaluma zao kwa kutumia formal na informal knowlege walizopata mashuleni, vyuoni na katika maeneo ya kazi.
 
Back
Top Bottom