FORUM tamu zaidi ya JF!!

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Hamjambo wana jf, naomba mnijuze kama kuna anayejua forum nyingine tamu au inayofanana na jf, kama mnavyojua kila siku mboga hiyo hiyo inachosha, ukilala jf..ukiamka jf. na ndio maana hata ukiwa na mke mzuri unatakiwa uwe na nyumba ndogo
 
Sidhani kama ipo.
ila sanasana mtu akitoka forums yenginezo akaja JF hatoki humu.
 
labda nikupe PERMANENT BAN!:D
imekaaje?

Ushindwe na ulegee kwa maneno yako 'machafu', badili tabia yako!

jamani mbona mnanishambulia, nimekusalikieni vizuri, nimewaomba mnijuze, kama hamjui si mseme tu, mnakosa uungwana! sasa hivi kuna biashara huria, au hamlijui hilo?
 
HAKUNA.
kwanza head ya hii thread "FORUM tamu zaidi ya JF!!", hapa tayari umeshakubali kwamba JF NI TAMU!!,
mchana mwema, karibu MDUDU kimara kona kwa KINIBU jioni!!.
 
ni kweli kabisa bwana gambler ameongea point sana, nashangaa hapo wakubwa wanataka kum ban!! jamani......
 
Hamjambo wana jf, naomba mnijuze kama kuna anayejua forum nyingine tamu au inayofanana na jf, kama mnavyojua kila siku mboga hiyo hiyo inachosha, ukilala jf..ukiamka jf. na ndio maana hata ukiwa na mke mzuri unatakiwa uwe na nyumba ndogo

Unaweza kwenda sister forum hapa
 
ni kweli kabisa bwana gambler ameongea point sana, nashangaa hapo wakubwa wanataka kum ban!! jamani......

Wale wale! wewe unaweza kwenda kwa Kiongozi yeyote umuulize ni nani bora kuliko wewe? au unaweza kwenda kwa Kakobe umuulize ni muhubiri gani bora kuliko wewe? ila simshangai GAMBLER I know him, ana matatizo.
 
jamani mbona mnanishambulia, nimekusalikieni vizuri, nimewaomba mnijuze, kama hamjui si mseme tu, mnakosa uungwana! sasa hivi kuna biashara huria, au hamlijui hilo?
kwa hiyo umetangaza biashara huria hapa??
haya tueleze unachonadi ni nini haswa?

Au umeamka na Mr. Zero leo?
 
sasa umefika wakati wa kuchuja baadhi ya JF members kwa pumba zao.
 
Hamjambo wana jf, naomba mnijuze kama kuna anayejua forum nyingine tamu au inayofanana na jf, kama mnavyojua kila siku mboga hiyo hiyo inachosha, ukilala jf..ukiamka jf. na ndio maana hata ukiwa na mke mzuri unatakiwa uwe na nyumba ndogo
Wahenga walisha sema "mchagua nazi hula koroma"sasa wewe hangaikia hizo forums nyingine alafu uone kama haujaambulia mauza uza!!
 
ndio maana hata ukiwa na mke mzuri unatakiwa uwe na nyumba ndogo

jamani mbona mnanishambulia, nimekusalikieni vizuri, nimewaomba mnijuze, kama hamjui si mseme tu, mnakosa uungwana! sasa hivi kuna biashara huria, au hamlijui hilo?

Hivi mtu kama wewe ungekuwa m/mke halafu mumeo anajivinjari huko mtaani na nyumba ndogo unazozizungumzia ungejisikiaje? Au wewe ungekuwa ni m/ke ungekubali kuwekwa nyumba ndogo ya mtu?

Sorry if any!
 
wewe Pape lazima, piga ua , wewe ni mwanamke, na unataka kutuletea mfumo jike!!
 
----Haki sawa kwa wote kwa nini wanaume wawe na nyumba ndogo? je wanawake nao wakitaka kuwa na nyumba ndogo mtaani waume zao watakubali na kufurahia?

Nani kawadanganya kuwa Wanawake hawana Nyumba Ndogo??!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom