FORUM tamu zaidi ya JF!!

FORUM tamu zaidi ya JF!!

maswali mengine jamani lol
😉

Kweli dada, ni mitego tu!

Ni sawa na kumuuliza mtu; nani mzuri kuliko mume/mkeo? Mimi nilidhani ameipata hiyo forum na kwa hiyo anatujuvya. Hakuonesha kama analeta swali, badala yake atupiga surprise. Ila nimejiuliza sana, kama hiyo forum ipo ndo tuipige chini JF? Inawezekana ana hoja. Tumpe tu nafasi yeye au wadau wengine watupe hizo breaking news kwani sisi wengine hatupendi kusumbua bichwa zetu!
 
Back
Top Bottom