Mjema Vushanje
Senior Member
- Sep 24, 2017
- 158
- 355
Mwenzenu nimejikuta nampenda Sana huyu ripota Wa ITV Fortuna Suleiman.
Mwanzo nilipagawishwa na sauti yake wakati anaripoti habari za Kibiti.
Pili umahiri wake wakati Wa kutangaza.
Ukweli Ni kwamba nilijikuta namtamani kimapenzi, na sasa nimejikuta nampenda kabisa baada ya kuiona sura yake japo ni mrembo Wa kawaida tu.
Imefika hatua nakaa kwny TV wakati Wa taarifa ili Tu nimsikie.
Furtuna Suleiman umejua kunikamata kwakweli!