Stavros Myles
JF-Expert Member
- Jun 7, 2020
- 350
- 391
Gwala kwa wana JF, JF long live (wote long liiive). Sina budi kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai siku ya leo, pia kongole za kutosha ziwaendee founders wa JF. JF imetumika kama chombo cha kutoa burudani,refreshment, deep spiritual explanations,career guidance na vingine vingi.
Leo nataka nijaribu kuongea na wahitimu wa kidato cha sita wanaoendelea na ku "Apply" vyuo. Kiukweli vijana wanajitia vitanzi wao wenyewe bila kujua, kozi wanazosikia ni kozi nzito wanasoma watu wenye ufaulu mnono nao bila hata kujiuliza wanazi "apply". Shida ni kwamba hawajui watasomea nini na what to expect when employment is never on their sides, simaanishi tunasoma ili wote tupate ajira ila la kujiuliza ni je ukikosa ajira unaweza ukatumia ulichokisoma kujiajiri? kama sivyo usithubutu kujaza hiyo faculty.
Usijaze faculty kufurahisha watu, baba,mama au mtu mwingine yeyote utapotea, usiwe kama mzee hapo pichani kipindi chote cha ujana wake alitulia na kustarehe, lakini baada ya mda kuenda (mida ya usiku sawa na umri alonao) ameamua kutafuta mafanikio kwa taa.
Kabla ujajaza kozi yoyote hakikisha una taarifa za msingi kuihusu, usidhani kusoma kozi ambayo unaambiwa ipo kwenye chuo "X" pekee itakufanya uwe na u 'special' wowote la asha haiko ivyo, inawezekana chuo "X" ndo kina kozi hiyo kwa Tanzania nzima, je umejiuliza baada ya hiyo miaka minne utakuwa na uwezo wowote wa ku practise unachosoma au na wewe utaunga kwenye vijiwe kupiga stori na sisi mtaa na kuanza kuipa madongo serikali?.
Kuhusu unapoenda kusoma we jaza tu ila msitukamue wazazi unafanya makusudically kujaza chuo cha Mwanza wakati unajua hata mavuno ya mwaka huu tumepata gunia nne tu za mahindi, tumeuza plastiki kadhaa u 'apply' mkopo na bado unajaza chuo cha mbali ni kweli unakipenda lakini sasa vipi we unaona uchumi wazazi unaturuhusu kweli?, Mzee Juma bado ananidai pesa yake ya mbegu, wadogo zako wawili wote wanasoma na mengine mengi ivi bado yote hauoni naomba ufikirie hata kwa dakika 5.
, "never give yourself a chance to regret in the future of what you are taking yourself into now "