Form four hawa hapa siasa au?

Form four hawa hapa siasa au?

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
802
Huu ni mfano wa barua ya mapenzi iliyoandikwa na kijana mhitimu wa kidato cha nne!
"me is love u. if u loveng and i will hepi.
also when look u i filling my hurt moves fast fast like woch clock.
wen to drinking wota in glas cup me i seen you pikcha u looked very goodsome.
plizi answer me likwest to lovingi you. i was come your home tumoro in oder to talk very for you and me.

Eti waongezewe alama hao ili waende 4m five.Uhuni huu!!
 
mkuu hii nchi ni ya ajabu sana. ndo maana wameficha ukweli wa suala la arusha na kumtoa kafara mkristo ili ionekane sio suala la udini. huwezi shangaa kuona mtu kama huyo hilo somo kapewa D baada ya kuongezewa maksi. lakini ipo siku Mungu anaendelea kuwaumbua taratibu, si umemsikia lipumba alivyoropoka? alidhani hakuna anayemsikia na kumrecord. kuna matatizo mengi sana yameahirishwa ndani ya nchi hii ambayo ni mzigo kwa walipa kodi.
 
Eti mkuu Ritz kuna kosa gan ktk lugha hii?
 
Last edited by a moderator:

ki msingi kazi ipo binafsi nawashauri wakisha ongeza hizo maksi kwa kutumia fomula wapitie japo script chache waone walopewa hizo marks kama wanastahili kweli au la
 
kaaazi kwelikweli na sasa wanasikika kwamba wamefaulu kushinda wale wa 2011
 
Huu ni mfano wa barua ya mapenzi iliyoandikwa na kijana mhitimu wa kidato cha nne!
"me is love u. if u loveng and i will hepi.
also when look u i filling my hurt moves fast fast like woch clock.
wen to drinking wota in glas cup me i seen you pikcha u looked very goodsome.
plizi answer me likwest to lovingi you. i was come your home tumoro in oder to talk very for you and me.

Eti waongezewe alama hao ili waende 4m five.Uhuni huu!!

Kuna tatizo hapa ambalo hatulielewi,nchi zote zilizoendelea kiuchumi na kijamii zinatumia Lugha zao za kitaifa,mfano bara lote la Ulaya,Japan, China,Korea kusini n.k sasa sijui kwa nini sisi tunawalazimisha hawa watoto wasome kwa Lugha ya kigeni wakati hata kiswahili fasaha chenyewe hawakijui,hapa nitaomba msaada wa Kiranga zaidi anisaidie kuwaeleza nyie wananchi mnaowasakama hawa watoto kwa kutokujua kimombo...
 
Last edited by a moderator:
mkuu hii nchi ni ya ajabu sana. ndo maana wameficha ukweli wa suala la arusha na kumtoa kafara mkristo ili ionekane sio suala la udini. huwezi shangaa kuona mtu kama huyo hilo somo kapewa D baada ya kuongezewa maksi. lakini ipo siku Mungu anaendelea kuwaumbua taratibu, si umemsikia lipumba alivyoropoka? alidhani hakuna anayemsikia na kumrecord. kuna matatizo mengi sana yameahirishwa ndani ya nchi hii ambayo ni mzigo kwa walipa kodi.

kwa comment hizi...! siwezi changia kitu hapa
 
Kuna tatizo hapa ambalo hatulielewi,nchi zote zilizoendelea kiuchumi na kijamii zinatumia Lugha zao za kitaifa,mfano bara lote la Ulaya,Japan, China,Korea kusini n.k sasa sijui kwa nini sisi tunawalazimisha hawa watoto wasome kwa Lugha ya kigeni wakati hata kiswahili fasaha chenyewe hawakijui,hapa nitaomba msaada wa Kiranga zaidi anisaidie kuwaeleza nyie wananchi mnaowasakama hawa watoto kwa kutokujua kimombo...

George Bernard Shaw would sympathise. Even as Bertrand Russel would attest that all languages are bound to fail some logical test, English is an inherently more illogical language compared with Swahili. The fact that native Swahili speakers have no natural linguistic connection to the Indo-European tongues makes the matter even more complex.

Nevertheless.

Watu -in the west- wanajifunza Kikorea siku hizi ili waweze kuelewa "Gangnam Style" na K-Pop lyrics directly. If you notice Korea became successfully economically before it started exporting it's pop culture. And has had the advantage of a distinct script, developed over thousands of years. We lack all these elements.

Tukianzia kwenye kulazimisha lugha tutakosea.

Tuanzie kukuza uchumi, uchumi utatupa afueni ya kuweza ku fund maendeleo ya sayansi na utamaduni na kuwa na dominance. Kuanzia hapo tutakuwa hatuna haja ya kulazimisha Kiswahili ndani wala nje, kitasambaa chenyewe tu.

Kukazania kulazimisha Kiswahili kabla ya kupata paradigm shift (how do you say "paradigm shift" in Swahili?) ni kama rocket kutaka kufanya decoupling kabla ya kupata escape velocity, tutashindwa.

Kiingereza ni kiswahili cha dunia.Penda usipende.

Na hatuwezi kujifanya tunaelea kwenye dunia yetu wenyewe.

Hilo pia halina maana kwamba hatuwezi kujifunza Kiswahili na Kiingereza kwa wakati mmoja. Hata kama Kiingereza kitabaki lugha ya kufundishia.
 
Back
Top Bottom