Form 6 leaver punguzeni presha!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Form 6 leaver punguzeni presha!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Msafiri Kasian, Aug 7, 2012.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mimi nimechoshwa na baadhi ya thread za watu,najua kila mtu anahamu ya kujua amepagwa wapi,ama ndugu yake amepangwa wapi. Lakini tatizo watu wengine humu wanatumia vibaya hili jukwaa,kama mtu huna taarifa za uhakika,ama tetesi zenye vyanzo vya uhakika,usipost kitu humu(ni ushauri tu). Mimi nadhani thread kama ya huyu jamaa aliyetujulisha kuhusu majina ya wale wanaopaswa kurekebisha baadhi ya mambo ndo zinatakiwa kw a sasa. Msitupandishie na wengine presha humu.
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Presha inapanda presha inashuka...LOL.. Poleni wanavyuo watarajali
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  tatizo ni baadhi ya watu ndo wanaosababisha haya yote,watu wangetulia ingekuwa afadhali kidogo.
   
 4. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Waache bana, ndio maan aya JF! JF kaz yake sio kujadili windowshopping za machopper tu!
   
 5. peri

  peri JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hahahaaa, umenichekesha sana mkuu.
   
 6. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,205
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tatizo kila mtu anataka kujifanya yupo up to date that is why yote yanatokea na pia ni matokeo ya utandawazi kuzingekua na hilo yote yasinge tokea utakuta mtu kadokezwa tu basi nayeye anatafuta sehemu ya kutoa kilichokuwepo moyoni mweke kimsingi unatakiwa wewe msomaji ukiona uzii wa ovyo temana nao.
   
Loading...