Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
[emoji1318]
Wakuu,
Nasema hivi:
Form 4 wote Nchi hii wavune walichokipanda. Kuwatakia wote wafaulu vizuri wakati jitihada zilitofautiana ni unyonyaji!!!
Nasisitiza,
kila mmoja avune alichokipanda kwa miaka 4.
wa "one" apate "one", na wa "ziro" ajipatie "ziro" yake nzuri tu!
Au kuna miujiza mingine Wakuu?
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]