Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Ndugu sinzaga kuna mdogo wangu ana div3.25 Yan
History C
Geography C
Kiswahili C
English D
Civics D
Biology C
Maths F
Anaweza chaguliwa shule za government [HASHTAG]#msaada[/HASHTAG] plz
Mkuu anapata bila shaka tena chaguo la kwanza tu, HGK au HKL
 
Jaman nisaidien nina CBD kwenye chem, bios, na phy je naweza kusomea PCB
Math nina C eng nina B Nilipta 2 ya 18
 
Mkuu sasa mdogo wangu ana D masomo yote kasolo esabu ana C na uraia na historia ana F na anataka kusomea civil engineering pale DIT muongozo inakuaje
 
Jaman naombeni msaada wenu jaman,nimemaliza form 4 2019,na ninaufaulu wa D kwenye masomo yote ya sayansi isipokua Bios ambayo Nina C,kwa upande was masomo ya art Nina ,C zote isipokua geographic ambayo Nina D,sasa sijachaguliwa kwend five Bali nimechaguliwa kwenda chuo cha utumishi namimi sikupenda,sasa nifanyej maana malengo yangu yalikua ni kwend afya
Naombeni ushauri
 
Jaman mm sitak kwenda vyuo vya utumishi kama nilivyo chaguliw,nia yangu ni kwenda afya sasa nifanyeje
 
Mkuu vp, samahani lakini, matokeo yangu ni kama hivi; Chem-C, Bios-C, Geog-C, Civics-C, Maths-D, Eng-D ila physics sikusoma naeza soma kozi gani ya afya yenye market kwa Sasa na chuo gani Bora, shukrani
 
Mkuu Anza kusomea ngaz ya certificate then diploma baada ta hapo upate GPA ya 3.5 ukasome degree.kuna kozi ya famasia na utabibu zinahtaji.mtu mwenye ufaulu wa alama D kwenda juu ktk masomo ya science pia na kigezo nyongez ni maths au English
 
Famasia unaweza kusomea chuo moja wapo kizur ni apple valley kipo kigamboni.
 
Hivi
Mkuu Anza kusomea ngaz ya certificate then diploma baada ta hapo upate GPA ya 3.5 ukasome degree.kuna kozi ya famasia na utabibu zinahtaji.mtu mwenye ufaulu wa alama D kwenda juu ktk masomo ya science pia na kigezo nyongez ni maths au English
kwa sasa bado sijachelewa
 
Mkuu sasa mdogo wangu ana D masomo yote kasolo esabu ana C na uraia na historia ana F na anataka kusomea civil engineering pale DIT muongozo inakuaje
Keshapita huyo km ana c ya math maanake hapo atakua na 4 ya 27 vgezo vya DIT uwe na ufaulu kwanzia D kwenda juu ktk na ktk masomo ya science uwe na D kwenda juu math ikiwemo kapita huyo kak hyo uraia na history weka pemben havimzuii kitu
 
Yes,, DIT watampokea, kama pre-entry, ni corse inayofanyika kama miez mitatu ivi, then watafanya mitihani, akifaulu atachaguliwa kujiunga diploma.
Mkuu sasa mdogo wangu ana D masomo yote kasolo esabu ana C na uraia na historia ana F na anataka kusomea civil engineering pale DIT muongozo inakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…