Form 4 na wengine, angalieni hapa!

F ya physics alafu kaenda muhas?!?!?!?!?!?!?!?!
 
Ooh .mm nlitaka udaktar sasa phizikia nlikatishws tangu o level nmepata kama hivi
Bios c geo c chemi c english b mathe d na mengine yote c
Je naweza kusoma phyisics advance but o level sikuisoma
 
Ninataka nikasome pcm sasa nina EDC physics nina E je naweza kwenda kurudia mtihani wa physics huku naendelea kidato cha tano private school
 
Wana JF.Naomba mwenye uzoefu.
Hivi unaweza kusoma Udakitari au masuala ya afya kama umechukua combination ya CBG?
ahsante
Bwojo
Inawezekana sana mm mwenyew napiga MD na nilisoma cbg

Kinachotakiwa kaza buti soma kwa bidii faulu vizur utapata unachotaka

Vyuo vingi tu vimechukua cbg kinachotakiwa n ufaulu mzuri wapo PCB wengi wameenda kusoma mambo ambayo hawakuwahi kuyafikiria na walikuwa na ndoto za kusoma MD PCB sio kigezo.Kigezo ni ufaulu wako uwe mzur hasa bioz,chem na bam
 
Mwambie ukweli.Akisoma CBG na kama hali ikibaki kuwa hii hii,atakua eligible kusoma chuo kimoja tu chenye sifa Tanzania hii..AJUCO

Sitaki kuzungumzia Kampala,HKMU na IMTU kwa sababu maalum

Lakini kwenye afya uwanja wa CBG umefinywa sana.
Hapana ni uongo

Uwanja upo mpana sana

Sema inatakiwa mtu awe na ufaulu mzur
 
Kwa maoni yangu, masuala ya Udakitari yanahitaji zaidi Chemistry na Biology, physics sijui inatumikaje kwenye fani hiyo! Kwa mtu aliyesoma CBG naona ni haki kusoma fani hiyo na anaiweza. Physics inahitajika zaidi kwenye fani nyingine kama za Uhandisi ambazo ni lazima uwe unaijua vyema na kuifaulu.
 
Na vifaa tiba utavisomaje bila physics...? Hao wa cbg wanaochukuliwa baadhi ya vyuo huenda walikuwa na ufaulu mzuri kwenye physics olevel
 
Na vifaa tiba utavisomaje bila physics...? Hao wa cbg wanaochukuliwa baadhi ya vyuo huenda walikuwa na ufaulu mzuri kwenye physics olevel
Vifaa tiba kwa Dakitari anakuwa kama operator, kwa jle physics ya O-level inatosha kabisa! Upande wa vifaa vyenyewe anayevifanyia matengenezo anakuwa amesoma Biomedical Engineering, huyo ndiye anaulazima wa kuwa amesoma PCB au PCM!
Hivi kwa wale wanaomaliza O level na kwenda kuchukua Diploma ya Medical hao nao wamesoma physics ya A-level? Maana huwa wanaruhusiwa kujiendeleza na kusoma Shahada sawa na huyo wa PCB!
Physics inalazimika zaidi kwenye fani za Kihandisi na fani nyingine za sayansi kama geology na nyingine.
 
Hapana ni uongo

Uwanja upo mpana sana

Sema inatakiwa mtu awe na ufaulu mzur

Mkuu,mdogo wangu alisoma CBG alikua na distinction na GPA ya 4. na alikosa hata Nursing ya MUHAS akachaguliwa medicine ya AJUCO

Kama hauamini sawa lakini uhalisia ndio uko hivyo
 

Mwambie pia chuo unachosoma sio MUHAS wala UDOM
 
Ooh .mm nlitaka udaktar sasa phizikia nlikatishws tangu o level nmepata kama hivi
Bios c geo c chemi c english b mathe d na mengine yote c
Je naweza kusoma phyisics advance but o level sikuisoma

Huwezi
 
Hapana ni uongo

Uwanja upo mpana sana

Sema inatakiwa mtu awe na ufaulu mzur
Kiukwel kabisa watu wanaotakiwa kusoma MD na phamacy ni watu wa PCB...wewe kama ulisoma CBG na ukapata md hio ni bahat yako tu mkuu au ulipita njia za panya ...fatilia vigezo vya udaktar uone
 
Mkuu,mdogo wangu alisoma CBG alikua na distinction na GPA ya 4. na alikosa hata Nursing ya MUHAS akachaguliwa medicine ya AJUCO

Kama hauamini sawa lakini uhalisia ndio uko hivyo
Kweli kabisa
 
TE="Perry, post: 3295598, member: 57490"]Wamekusoma mkuu.[/QUOTE]
Jamani post za form four zinatoka lini,???
 
Mi naomba kujulishwa zaidi apo kwenye d 5 unasema unaenda diploma direct kivp? Na ordinary diploma na hio special zinatofautiana nn? na how comes kwa form4 uende diploma bila kupitia certificate? io i think form six labda ndo wanaenda direct to ordinary diploma nta level 5&6 kwa vyuo vya nacte mkuu.
 
Habari Mkuu, kumbuka utaratibu ule wa zamani umerudishwa na Waziri mwenye dhamana, kwahiyo ukiauacha mfumo wa GPA, ni kwamba ufaulu wa D 5, yaani 3 za principal na 2 za kawaida basi unakuwa umequalify kuanza Diploma. MARA NYINGI, certificate inaclear ile failure ya form 4, kupata D sio failure....labda kama values zimebadilishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…