Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
unataka nini tuanze kusikiliza maoni yako kwanza..?Jaman ma mi nina 28 b/math F,chemistry D,civics D,english D,kiswahili D,history D,geography D,biology D nisaidieni nifanyeje
unaweza kufanya pepa kwa sababu moja ya kigezo cha kufanya mtihani wa A-LEVEL ni kuwa na C TATU kwenye masomo yale saba ya msingi na ya mchepuo isipokuwa masomo ya dini .. kwa hiyo basi unaweza kusoma hiyo PCB nakicheki una DCC .. ILA UNAYO C ya kiswahili kama unajiamini unaweza kusoma PCB tafuta shule private tu ujione pole sana kwa matokeo haya..Jamani nisaidieni nina IV ya 27 CIV-F GEO-F KISW-C HIST-F ENG-D MATH-F BIO-C PHY-D CHEM-C nataka niende form five katika shule za private nikasome PCB. Hivi kwa hilo itawezekana
mkuu sizinga! masomo ya sayansi wanachukua total point ngapi?
kuna mdogo wangu kapata div. 3 point 24 na ana B/maths C, Biology C, Civics C, Kiswahili C na the rest ana D
mfano PCM ana DDC, PCB ana DDC, EGM ana DC na PGM ana DDC
mshahara wenyewe wakulenga na manati huu, nijue kabisa kama anaenda private nianze michakato ya kukaba wabunge wakikatiza anga zangu.
dogo alichaguliwa PGM, hii thread ya mwaka jana mkuu.egm anaweza chukuliwa both private na government. Akikosa government anaweza kwenda private.
nawasihii msome hii thread kuanzia mwanzo kuna ushauri tumejaribu kutoa kwa wanafunzi wa form mwaka jana 2012 waliomaliza 2011 . kwa hivyo basi someni taratibu unaweza ukaambulia chochote cha kukasaidia najua ni jinsi gani wazazi wanahangiaka sasa...
Mkuu nashukuru sana kwa ufafanuzi wako. Hata hivyo kwa kuwa umetoa nafasi ya kujazia sehemu ambayo labda inamabadiliko yafuatie,nafikiri nijikite kwenye mambo mawiliHaya matokeo ndiyo hayo yametoka!! Kila kitu hadharani, sasa ukiwa hapa JF ndo mpango nzima!! Manake watu washaanza kuhoji, mi nina hiki au kile nitafanyaje, haya ngoja nitajaribu kuweka mwongozo na alternatively nyingine due to spme perfomances kwa wote, manake naona huku kitaa watu wanadanganyana sana!!
Hii ni kwa kadri ninavyofahamu mimi, kama kuna marekebisho basi yafuatie:
=> Credit Qualification kwa hali ya kawaaida ni 'C'-Na ili uende Form 5 unahitaji uwe na C 3, hapa ni either umebalance Combination(Comb) au hujabalance. Sasa kama una C 3 na comb hujabalance, hautachaguliwa serikalini bali shule binafsi utaenda kusoma mchepuo utakaofanana na masomo yako.
[ Mfano: Civ-C, Kisw-C, Geo-C...unaweza fanya HGK ama HGL ama kozi nyingine hata kama english na History una D].
=>Ukiwa na C 2 na D kadhaa(lets say 4 ya 26), hapa utaweza kwenda Form 5 shule za Private lakini utatakiwa utafute C ya 3 kw kureset wakati upo form 5. Same na C 1 You need to re-sit.
=> Hapa sasa ndipo kwenye utata. Ukiwa na D 3, kiukweli sahau Form 5 kama hauhitaji kurisit, sasa qualification hizi zina option zifuatazo:
1. Unahitaji kupiga long pass kwa kwenda Chuo kwa ngazi ya Certificates. Duraation ya hii kozi ni 1 year Certificate. Sasa hapa kuna vyuo kadhaa vinavyotoa certificates. Hapa ni D za masomo yoyote yale Basic(sina uhakika kama B/Knwoledge na Islam zinazingatiwa na ndio maana nasema D za Basic Subjects)
Mfano: Unaweza kufanya Certicates vyuo vya CBE-Mambo ya Biashara, IFM, TIA, Utumishi wa Umma(Public Service) Vyuo vya Kilimo na Ualimunk.
Nakozi nyingi tu wanatoa kwa certificates..mfano Procurement, Accounts, Public Admistration, Recording, Clearing and Forwarding, Social Development, Secretarial Duties, Education nk.
=> Ukiwa na D 4 upo qualified kufanya ngazi ya certificate kama nilivyoanisha hapo juu.
=> Ukiwa na D 5 sasa hapa wewe umeula!! Hapa unaruhusiwa kabisa kufanya Basic Diploma katika vyuo vyote wanavyotoa Duploma. Kwa mfano vyuo hivyo nilivyovitaja hapa JUU, chukua form yako kwa maringo achana na biashara ya kurisit omba kozi ya diploma, Teana kama una D ya hesabu na English ndo inakuwa rahisi zaidi kuchukuliwa.
=> Kwa wale waliosoma mahesabu kuna vyuo vingine kama DIT(Daar Institute), AIT(Arusha Inst) na Mbeya Tech Msishau kufanya maombi, na kwale waliopiga fresh Biology with minimum of D angalieni option za Nursing ni nzuri sana na katika vyuo vya MATC na COTC.
Kama kuna marekebisho yanakaribishwa na kama hoja ama daubt basi uwanja ndio huu. Most welcome!!
Mkuu nashukuru sana kwa ufafanuzi wako. Hata hivyo kwa kuwa umetoa nafasi ya kujazia sehemu ambayo labda inamabadiliko yafuatie,nafikiri nijikite kwenye mambo mawili
1:Mkuu kwa ufahamu wangu,hairuhusiwi tena mtu kuendelea na 4m 5 na wakati huohuo akiwa anarisit. Hii ni kwasababu ili ufanye mtihani wa kidato cha sita lazima uwe umekaa darasani miaka miwili toka umalize kidato cha nne,hivyo basi ukijiunga na 4m 5 huku unarisit hiyo miaka miwili haitatimia.
2:Hairuhusiwi tena kuunga unga vyeti,mfano mtu alikuwa na c mbili then arisit ili apate moja aunganishe na zile mbili za mwanzo,swala hilo haliwezekani tena. Hii ni kwa sababu ili mtahiniwa aruhusiwe kufanya mtihani kidato cha sita lazima awe amepata angalau crediti 3 O-level kutoka kwenye kikao kimoja ( ie 3 credits in o-level at the same sitting). Hii inamaanisha mtu akiamua kurisit anayakana matokeo yake na anatafuta mengine,na kwa mfano kama mtu alikuwa na c mbili na zilizobaki ni D halafu akarist assume akapata tena C mbili na D nne labda na F moja,hawezi kuanga hayo matokea akadai eti ana C nne kwasababu zimepatikana kwenye vikao tofauti(miaka tofauti). Hata hivyo lazima nikiri kwamba taratibu za kuunga vyeti zilikuwa zinatumika hapo nyuma lakini kwa ufahamu wangu ni kwamba kwa sasa zimefutwa. Kwahiyo kama mtu ana C mbli hawezi kwenda form 5, na akiamua kurisit ajue ni kama anaanza kazi upia. So kama kuna mtu hali hii inamgusa aangalie hayo mambo.
combi yoyote ya arts unaenda, kama HGL, HKL, HGKje mwanafunzi aliyepata hivi:
civics-C
English-C
geography-D
biology-C
history-D
kiswahili-D
physics-D
chemistry-D
math-F Anaweza akapata combi gani? ana division 3.25.
Mkuu nashukuru sana kwa ufafanuzi wako. Hata hivyo kwa kuwa umetoa nafasi ya kujazia sehemu ambayo labda inamabadiliko yafuatie,nafikiri nijikite kwenye mambo mawili
1:Mkuu kwa ufahamu wangu,hairuhusiwi tena mtu kuendelea na 4m 5 na wakati huohuo akiwa anarisit. Hii ni kwasababu ili ufanye mtihani wa kidato cha sita lazima uwe umekaa darasani miaka miwili toka umalize kidato cha nne,hivyo basi ukijiunga na 4m 5 huku unarisit hiyo miaka miwili haitatimia.
2:Hairuhusiwi tena kuunga unga vyeti,mfano mtu alikuwa na c mbili then arisit ili apate moja aunganishe na zile mbili za mwanzo,swala hilo haliwezekani tena. Hii ni kwa sababu ili mtahiniwa aruhusiwe kufanya mtihani kidato cha sita lazima awe amepata angalau crediti 3 O-level kutoka kwenye kikao kimoja ( ie 3 credits in o-level at the same sitting). Hii inamaanisha mtu akiamua kurisit anayakana matokeo yake na anatafuta mengine,na kwa mfano kama mtu alikuwa na c mbili na zilizobaki ni D halafu akarist assume akapata tena C mbili na D nne labda na F moja,hawezi kuanga hayo matokea akadai eti ana C nne kwasababu zimepatikana kwenye vikao tofauti(miaka tofauti). Hata hivyo lazima nikiri kwamba taratibu za kuunga vyeti zilikuwa zinatumika hapo nyuma lakini kwa ufahamu wangu ni kwamba kwa sasa zimefutwa. Kwahiyo kama mtu ana C mbli hawezi kwenda form 5, na akiamua kurisit ajue ni kama anaanza kazi upia. So kama kuna mtu hali hii inamgusa aangalie hayo mambo.
Kwahiyo performance ina maana una point 9(B=2 C=3 D=4) sasa huwa hizi course zina cut off point(mara nyingi inakuwa 7) ila kwa ufaulu wa mwaka huu ulivyo mbovu cut off inaweza kupunguzwa ikawa 9 au 10, iina maana kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuchaguliwa kwa PCB(I stand to b correct)!!
Wala hata usiwe hata na hofu kwani msingi wa PCB ni Biology na Chemistry ambazo wewe umefanya vizuri mno!!
Kwa hiyo wewe omba utachukuliwa ingawa mlishajaza kwa form zile kaba ya mtihani.
Sikushauri sana uende CBG kwani ingawa nayo ina wide opportunity like Chemical processing, na hata engineering pengine unaweza fanya!! Sina details zake sana!!
Nimeenda TIA kuulizia kuhusu diploma maana mdogo wangu ana D na C mbili za english na History ila wamesema hawezi kusoma diploma ni hadi aanze kusoma certificate.naomba ushauri hapo.