Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Kwa kwel inashangaza,m2 anakuwa famous wa kuanalyz mambo ktk jf,mpeleke clas yaan ni full mental detoriation!
 
jamani hayo matokeo yako wapi naomba links basi nami nimcheck mdogo wangu1
 
Hapo kwenye RED umesahau chuo cha nyuki Tabora. Na hapo kwenye BLUE, hicho chuo kimepanda chati, ni University sasa " Mbeya University of Science and Technology" (MUST)
 
Cna mpango wa kwenda advance..nina dvsn 1 ya 17 yn B 4 na C 5,na nina mpango wa kuchkua coz za sayanc eg arc,civil,I.T,I.C.T, au minng ila ngeitaji ushauri coz gani tkw the best..plz naitaji ushaur help l b gr8ful

Kasome Diploma ya CIVIL katika vyuo kama MUST, DIT, ATC kisha ndio utajua mbele....
 
Kwa kwel inashangaza,m2 anakuwa famous wa kuanalyz mambo ktk jf,mpeleke clas yaan ni full mental detoriation!

Hata mwenye cheti kikali darasani ukimpeleka field ni bure kabisa, zuzu!!
 
Hapo kwenye RED umesahau chuo cha nyuki Tabora. Na hapo kwenye BLUE, hicho chuo kimepanda chati, ni University sasa " Mbeya University of Science and Technology" (MUST)

Ok good!!
 
Sa nani asiyejua acha kujipendekeza kila mtu yanayomhusu anayajua,ushatuona humu jf wote mbulula eeee,anzisha darasa kwako sio huku

Duh vilaza utawajua tu...huwa wana roho mbaya sana!! Hembu muoneni huyu!!
 
xaxa kwa mfan mtu anapenda apge PCB au CBG af kwa bahat mbay chemia anapat D na ayo mengne anapga flesh tu vp anaweza chaguliw kwend 5 au*? Plz help me

kaka hapo baati ipo coz mwaka jana kuna kijana shule nilio malizia alichaguliwa PCB na alikuwa na B=c,C=c na P=d lakin alichaguliwa,,, so worry out bro
 
Kwa kwel inashangaza,m2 anakuwa famous wa kuanalyz mambo ktk jf,mpeleke clas yaan ni full mental detoriation!

Dogo vp?!!!! MUNGU NDO MPAJI unaweza ukawa mzuri wa kushauri wengine lakini ww usiweze kuyaishi,mada yako haina uhusiano kabisa na mada aliyoitoa bwana mdogo hapo,angalia dogo unaweza kuwa unajidhani kichwa kumbe hewa,after all jf kuna kila aina ya watu, hvyo penda kuthamini mawazo ya watu wengne.Nimekuwa nikifuatilia comment zako naona kama vile ww ni greater sink instead of greater thinker.
 
Kwa kwel unajtahd kutoa mawazo bubu,hvyo u want 2 look like simpleton ones.
 
Jamani eeh huu sio wanja wa kushushuana!!! Ni kupeana mawazo mazuri,kuulizana,kusahiishana kwa maneno mazuri na sio kashfa!! Embu tuwen ma g8t thinker coz tanzania nzima inasoma tunacho kiandika!!! Gotta good morning y'all
 
Sa nani asiyejua acha kujipendekeza kila mtu yanayomhusu anayajua,ushatuona humu jf wote mbulula eeee,anzisha darasa kwako sio huku

Hujalazimishwa kucomment. Kama wewe unajua piga kimya tembea kwa thread nyingine. Hii ni kwa wasiofahamu tu.
 
kwan matokeo yametoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…