Forex vs Betting

Je forex ni sawa na betting?


  • Total voters
    26
  • Poll closed .
Hamna cha hard way kama hujui na hutaki kujua itakua hard way
nshakwambia mm naijua forex kuliko ata huyo mike, sasa kwa kua unapenda ubishi kafanye utakua kama yeye una hela nyingi, sawa eeh?
 
Forex trading looks like gambling but it is not. It is a real business. In a gambling, we don’t know what we are doing but in business, we understand properly that what we are doing. Gambling follows luck but business follows practice and experience. That is why an experienced trader ready to book loss when something happens wrong with their opened position. But gambler type of traders waits for the market to come in their side even the huge losses are seen.

Gambling can be converted into a real business through enough practice and practice in this market.There is no shortcut developing such kind of skill to look at the market as a business rather than gambling.
 
nshakwambia mm naijua forex kuliko ata huyo mike, sasa kwa kua unapenda ubishi kafanye utakua kama yeye una hela nyingi, sawa
We unaleta ujuaji mwezako yeye ana make hela na kupoteza. Angekua fake basi tungeskia MIKE anauza signal mara link kwa mabroker mara kauza robots lakini kote huko humkuti
 
Yes mi mjinga lakini ukinipa sehem ambayo huyo jamaa naye anawapiga watu hela kutoka mifukoni mwao mi nitatulia
mm nadhan wala tusiongee sana ila nkuhakikishie lazima ulie, ata uongeze uchawii!
 
We unaleta ujuaji mwezako yeye ana make hela na kupoteza. Angekua fake basi tungeskia MIKE anauza signal mara link kwa mabroker mara kauza robots lakini kote huko humkuti
as i said YOU WILL LEARN THE HARD WAY kama apa utashindwa kujifunza
 
as i said YOU WILL LEARN THE HARD WAY kama apa utashindwa kujifunza
we lazima ukubali jambo ambalo huliwezi basi usifikir ni the same kwa mwingine yeye MIKE kawezaje hiyo miaka kumi naeushee
 
we lazima ukubali jambo ambalo huliwezi basi usifikir ni the same kwa mwingine yeye MIKE kawezaje hiyo miaka kumi naeushee
nshakwambia na narudia tena, mtu pekee utakaemuamini ni ambae utakua na maongezi nae BEFORE trade sio AFTER trade, usipoelewa na hio bas
 
Hamna kitu umeshidwa kufanya utulie sio kuwakatisha wengine tamaa
amna anaekupangia cha kufanya, sisi tushafanya zaidi ya unachotaka kufanya for the longest years and tunajua whats behind, kuchukua ushauri ni juu yako
 
Hizi article ziko kibaoo lakini still baadhi yao wanashine out pamoja na ugumu uliopo kwahiyo acha kukariri madesa,
Kwa taarifa yako huyo MIKE kwa wiki anApigwa loss kibao tu lakini mwisho wa mwezi Netprofit yake inasoma positive
aya mfuate na wewe kila mwezi utakua unaingiza ela kama yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…