Forex soma mwenyewe sio kufata mkumbo ndio maana inaonekana ni utapeli na kufilisi mitaji ya watu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
watanzania tukisikia unatajirika haraka basi wote tunakuja haraka utazani wakimbizi.

sio watu waliopoteza pesa kwenye forex tu hata haya mzungumzi na kujifanya wakimya.
kama betting,biashara,kilimo,kamali(casino) na n.k

Hakuna utajiri wa rahisi hata siku moja na kila sehemu kuna changamoto yake ya kusaka hiyo pesa.

kufanya forex utakiwi kichanganya na mambo mengine kama ufahamu jinsi ya kutrade.

Kutokana na tamaa zetu za kutaka kufanikiwa hapa kuna mchezo sasa nawashitua unaofanywa na wahusika fulani fulani wakijifanya wanasaidia jinsi ya kudownload pesa kwa kuuza pipsi,sijui buy hii au sell hii na yeye hakiwa motivoter wa ushawishi muingie kwenye account fulani.

makampuni ya forex yana watu wapo kwa ajili ya kuwaunguzia account zenu kwa mfumo huu:
*kuna wale wanaojifanya kutambua signal na pips.
hawa watu ni wabaya tena wamejikita sana kwenye mitandao ya kijamii ukianzia instagram wakionesha ufahali wa maisha na ukwasi mkubwa.
inakuwaje !.pale anapo kushawishi ingia trade hii na promo code au hata promo code basi yeye upatana na kampuni ili wawadanganye kuwa hapa ukiuza unapata kumbe wanawapeleka chaka na pesa zinakwenda kwao na mwisho wa siku anakula kamishine yake.

*kampuni za kutrade zisizo kuwa aminifu
kuna kampuni za kutrade zenye meta trade za uongo ambazo zina act kama zinatrade graph na kuwa umiza.
hakikisha kujua hipi kampuni ya kutrade ambayo si legit na sio scammer.

*watu wengi upenda kutumia maroboti kwa ajiri kutrade hii inaweza kukusababishia risk kubwa

*kampuni za kutrade zinatabia mnaweza kuangalia hizi sinema
IMG_5442.jpg

IMG_5443.jpg

IMG_5444.jpg
 
Biashara inadumaza vijana hii japo ni real sema watu wanakuwa na matarajio makubwa mwisho wa siku chali
 
Tatizo la Forex ni watu wanalazimisha watu waiamini utadhani injili bhana. Yaani hawataki kupiga hela zao kimya kimya ni mpaka mtufokee kila siku.
Kuna tatizo mahali hii business nimesoma sana na kufanya miaka 3 ila kuna kitu nimegundua ndo maana nikaacha

Kwa nn watu wanapost mafanikio kuliko biashara nyingine
 
kimsingi licha ya kuiweka wazi akili yangu ielewe mengi lakini sikuwahi kupata bahati ya kuelewa haya mambo ya ku download pesa mtandaoni
 
Kuna tatizo mahali hii business nimesoma sana na kufanya miaka 3 ila kuna kitu nimegundua ndo maana nikaacha

Kwa nn watu wanapost mafanikio kuliko biashara nyingine
Wanapost mafanikio ya uongo sasa bora yawe ya kweli. Hao wenyewe wanajua kupiga hela kwa kufanya trading sio rahisi kama wanavyolazimisha ionekane.

Sasa wanachofanya ni kutushawishi tulipe ada watufundishe, tulipie mentorship, tununue mavitabu yao na watuuzie signals zao ambazo hata hao wenyewe wanazitrade kwenye demo. Na hapo ndipo wanapopata hela zao na sio kwenye ku trade.
 
kweli
 
Hahahaha inaonekana weww ni mdau bila shaka hivi haiwezekani ukasoma zako vitabu vya hio forex na ukawa una trade mwenyewe kimpango wako bila hizo signal zao ama?
 
Back
Top Bottom