FOREX! Ondoka sasa tuachie JF yetu

Kwa hiyo mchezo wa parapata mtu anakuja mfano anaomba chenji ya 10,000. Then anarudisha 6,000 (bado anadaiwa 4,000) halafu anaomba 4,000 (-8000), anakuja kulipa 5,000 (-3,000) anakuja kukopa tena 6,000 (-9,000) mpaka mkepeshaji anasahau anachodai!!!
Na forex ipo hivyo kama ulivyoelewa!!!
110% Correct..
 
forex inahitaji kusoma sana vitabu,kufuatilia sana news. tweet moja tu ya kichwamaji trump inaweza kukuchomesha account! ni bora uwekeze laki 2 kwa kubet mechi 1 tu sportpesa wana markets 13+ utaweza kuvuna 30k daily. forex,bitcoin tuachieni guru's!.
 
Kila mtu ni gwiji wa Forex hadi vigagula nao wanajifanya wajuvi wa hii kitu, maajabu!

Forex inapotoshwa sasa, kufananisha forex na mchezo wa kitapeli wa PARAKACHA ni ujinga wa kiwango cha psychic!
 
  • Thanks
Reactions: Pep
waliojiforexisisha wakaforexiwa sijui hali yao ikoje, hii si sawa na shamba la bibi la mpunga kule ifakara! inahitaji kusoma and trade what you can afford to loose!
 
Wanapogombana nyati ziumiazo ni nyasi... Lakini kipindi hiki nyasi hazijaumia zimefaidi sana.. Ni sawa na godoro linavyofaidi wakati wawili wakifanya ngono kitandani... Yoyote atakayekuwa chini ya mwenzake support yake ni godoro, style yoyote support yake ni godoro!!! Zile KWICHI KWICHI ni kelele na malalamiko ya kitanda si godoro.
Godoro janja sana, likielemewa uzito linabonyea, style ikibadilika linatuna tena kama mwanzo.
 
ukisoma thread yako between line tayari unaupande ulioegemea
Sina upande na nimeweka wazi msimamo wangu.. Gari kuegemea upande mmoja si lazima iwe tairi halina upepo sometimes hata mwinuko unachangia
 
ukisoma thread yako between line tayari unaupande ulioegemea
Sina upande na nimeweka wazi msimamo wangu.. Gari kuegemea upande mmoja si lazima iwe tairi halina upepo sometimes hata mwinuko unachangia
 
Kila mtu ni gwiji wa Forex hadi vigagula nao wanajifanya wajuvi wa hii kitu, maajabu!

Forex inapotoshwa sasa, kufananisha forex na mchezo wa kitapeli wa PARAKACHA ni ujinga wa kiwango cha psychic!
Aisee hii nayo ni comment...!!! Shikamoo FOREX... Bahati mbaya sana hata PARAPATA yenyewe huifahamu mpaka unaandika PARAKACHA sijui ulidhani PARAPATA ni karata tatu?
 
forex inahitaji kusoma sana vitabu,kufuatilia sana news. tweet moja tu ya kichwamaji trump inaweza kukuchomesha account! ni bora uwekeze laki 2 kwa kubet mechi 1 tu sportpesa wana markets 13+ utaweza kuvuna 30k daily. forex,bitcoin tuachieni guru's!.
Na wewe umeliwa?
 
Back
Top Bottom