Fungua ECN account kwa broker.how SURE you accessing the ECN network??, how ECN naturally works??
Fungua ECN account kwa broker.how SURE you accessing the ECN network??, how ECN naturally works??
Elewa swali lake la msingiFungua ECN account kwa broker.
Ni maswali ya msingi sana, Brokers wengi wanatumia MM model na still wanajitangaza kama best ECN broker ila kiuhalisia ni MM brokers.how SURE you accessing the ECN network??, how ECN naturally works??
ku watu watu mjini ni dealers wauza odd kama signal zinazouzwa na watu wa forex na wanapiga picha kweny mahotel kama mentors uchwara wa forex mi nina jamaa yangu since chuo anabet ana gari now na kiwanka kikubwaTufanye hivi achukuliwe watu wawili wote wapewe laki mbili mbili alafu mmoja abet na mwingine atrade forex, then baada ya mwezi ufanye asses
laki mbili kuikuza kwenye forex hadi 3 million mazingira yanawezekana, kuliko kubet football socker ni ngumu sanaa chance to loose ni kubwa sana kuliko kupata, kwenye kubet hutakiwi kukosea hata kidogo ili ufanikiwe, ila kwenye forex loss hata 3 unaweza usipate hasaraa lakini sio kubet, kwasababu ukibet labda 10 mechi, na katika hizo 1 ukala loss, hiyo odd ya loss inabadilika inakuwa 0 sasa hata kama zingine mechi 9 umeshinda for whatever odd say 500odds na your stake tsh 200,000Wako sawa hata uwape million 2
ku watu watu mjini ni dealers wauza odd kama signal zinazouzwa na watu wa forex na wanapiga picha kweny mahotel kama mentors uchwara wa forex mi nina jamaa yangu since chuo anabet ana gari now na kiwanka kikublaki
When na ilikuajeMo alishafanya hicho kitu...Wa kubeti alishinda
Hakuna kitu ka iyo mzeiya kuuza tu odds si azitumie kubetia kila siku Naingia jukwaa la kubet za uso ni nyingi mnoWako sawa hata uwape million 2
ku watu watu mjini ni dealers wauza odd kama signal zinazouzwa na watu wa forex na wanapiga picha kweny mahotel kama mentors uchwara wa forex mi nina jamaa yangu since chuo anabet ana gari now na kiwanka kikubwa
Yeap kama forex wajanja signal daily hamna kitu walishachomewa na jamaa wao ontario huko nyuma😂😂😂When na ilikuaje
Hakuna kitu ka iyo mzeiya kuuza tu odds si azitumie kubetia kila siku Naingia jukwaa la kubet za uso ni nyingi mno
Discipline bila strategy and money management is nothing & loosing tradesKikubwa kwenye hayo madude ni displine basi,kama huwezi kujizuia utapigwa tu kila siku
Hapo utaangalia kama yupo (REGULATED) na taasisi za serikali kama USA , UK, S.A na Australia.Elewa swali lake la msingi
Ni maswali ya msingi sana, Brokers wengi wanatumia MM model na still wanajitangaza kama best ECN broker ila kiuhalisia ni MM brokers.
Hivyo ndugi sirmweli tusaidie hapo kwenye hoja yake
#1. how SURE you accessing the ECN network?
#2. how ECN naturally works?
Kwa nyongeza utamtambua vipi Real ECN broker.
Mbona William Elkhart and Richard Dennis walibishana kuwa unaweza ikafundishwa kwa talented guys ,wakabet mwishowe wakafundisha vijana wakawapa hela zao wakawatredi na walizalisha profitable traders like Malaysian guy Varp ThaarpWell forex is real and you can make tons of money or loose it all, siongei kwa ushabiki naongea kitu ninachojua na ninafanya vizuri tuu kipesa/financially, been trading for almost 15 years now, tatizo forex ni vigumu kumfundisha mtu akakuelewa, na hakuna strategy or money management ambayo ni perfect, Ila one advice know your charts/pattern then learn and go deep on strategies like MA, RSI, Bollinger bands, Fibonacci, ichimoku etc hakikisha unaelewa, naamini eventually you will come with your own trading system, I guarantee you will make a lot of money, I'm very rich because of forex(just for your motivation 😁 and I'm real), tumia YouTube, google etc kuna free training za kutosha and don't pay anybody to teach you forex, good luck
Kwenye mechanical rules unamfundisha mtu sema kwenye instictual or intuition, subjective rules ni ngumu kumwambia ama kufundishaWell forex is real and you can make tons of money or loose it all, siongei kwa ushabiki naongea kitu ninachojua na ninafanya vizuri tuu kipesa/financially, been trading for almost 15 years now, tatizo forex ni vigumu kumfundisha mtu akakuelewa, na hakuna strategy or money management ambayo ni perfect, Ila one advice know your charts/pattern then learn and go deep on strategies like MA, RSI, Bollinger bands, Fibonacci, ichimoku etc hakikisha unaelewa ma sababu hizo strategies zinafanya kazi ni kwa sababu traders dunia nzima wanatumia kwa hiyo pattern zinafuatwa hizo strategies , eventually you will come with your own trading system (from the knowledge), I guarantee you will make a lot of money, I'm very rich because of forex(just for your motivation and I mean it), tumia YouTube, google etc kuna free training za kutosha and don't pay anybody to teach you forex, good luck
You can teach some basics lakini to make serious money naamini ni wewe mwenyewe, nafikiri watu ambayo ni wazuri in math ambao wanaweza kuona some pattern Wana good chance ya kufanikiwa in forex(not necessarily)Mbona William Elkhart and Richard Dennis walibishana kuwa unaweza ikafundishwa kwa talented guys ,wakabet mwishowe wakafundisha vijana wakawapa hela zao wakawatredi na walizalisha profitable traders like Malaysian guy Varp Thaarp
Am not how agree with you. Kwa mfano wenye good math awarenessYou can teach some basics lakini to make serious money naamini ni wewe mwenyewe, nafikiri watu ambayo ni wazuri in math ambao wanaweza kuona some pattern Wana good chance ya kufanikiwa in forex(not necessarily)
UMEMALIZA KILA KITU COMRADE.But all of it..hii kitu ni real na unaweza make money tatizo ni ile wa tz tuna papara na tunawahi kukata tamaa hii n business kubwa sana saiv inaingia mpaka mabitcoin pia stocks yaan Kuna instrument nyingi mno za kukufanya upate pesa. Cha msingi ni kusoma na kujua nn kimo ndani sio ishu ya leo kesho uamke tajiri aaaah wapi take time kujifunza na ku grow.. kwakweli n huge market Wala hadanyi mtoa mada
duu kweli kazi kahiyo wale wa south kina jasonnioah, manado the goat, ref wayne, fx goats, sandile shez hata vile waavyo fanya analysis live pia ni scam??Forex is a scam and the game of gamblers,none of you mentors wants you to know that
Nakupa mfano na uhalisia kama kuna mentor mkubwa aje ajibu hapa kiukamilfu with reasonable hits
Nimeijua forex 2016 nimetrade sana kipind icho jp market alikuwa anafanyia watu ushenzi na tulikuwa tunatumia sana templer to krahisisha kutoa na kuweka pesa
Unachotakiwa ujue forex haikuanza na mzunguko wa $6 trillion kama mnaelewa ilianza chini kabisa before walikuwa wanafnya mabanks tu ndo maana kama ni mtu unafuatilia back years unasikia bank imefilisilika sababu ya forex ila jiulize kwa sasa ni ngumu kusikia ilo kwa sababu kuna small fishs ( retailers traders )wengi hawa ndo wanapigwa
Unachotakiwa ujue forex na betting ni same zote wameanzisha matajiri na mabank kufanya kama starehe na kutumia pesa zao
Jiulize je kwa nn brockage firms zinaweza kuwa na insurance lakin forex trader mwenyewe hana kitu dhidi ya loss kama ni business na ni forex na betting ukipigwa unatembea?
Jiulize kama ni business real ukisell ukaliwa means buyers wakati huo wamepiga yaani mmevutiana soko wenyewe kwa wenyewe then na betting tena betting ina option nyingine ambayo mechi inaweza kuwa draw ,loss, or win ila forex pande mbili tu ukiloss mwenzio kapiga means ni gambling
Je mentors kwa nn wanakimbilia kufundisha kutoa signal ,kuandaa vitabu insteady of focusing on market
Tamaa za kushawishi watu kuingia kweny forex ndo zina faida nying kuliko uhalisia wa kutrade mfano brokers wanatumja system ya ib (introducing broker) kualika mtu ili upate commsion kama anayokuja nayo sirjeff na broker 360 na pia aalifanya na jp market miaka ya nyumba na ukiangalia kila mentor ana brokee wake apate kumpromote apate commsion angalau ni uwakika kuliko kuingia sokoni
mentors wanatumia njia ngumu kushawishi watu waamini wamefanikiwa kama showoff mara masuut hotelin, sijui magari
Haya maswali hayaongezi chochote cha maana kwa forex trader.WAJUMBE NA MASWALI YAFUATAYO
- How liquidity providers fill your orders either buy or sell orders?
- How currency speculators provide liquidity to the market?
- Market move due to supply and demand sasa wanayoimove up na down ni demand and suppliers wanaobuy na kusell real currency(not currency pair) kupitia ECN network? Au demand na suppliers wanaofanya speculation ambao ni mimi na wewe?
- Unapobuy pair ya currency na wewe unakuwa miongoni mwa DEMAND kama wanavosema? Na unaposell pair unakuwa miongoni mwa suppliers kama wengine? Au wewe kuwa DEMAND au SUPPLYERS kunategemea demand wanaobuy buy currency na sio currency pair na wanao sell currency na sio wanao sell currency pair?
- Unapofanya uchambuzi wa suppliers na demand unawaconsider na speculators kuwa nawao ni miongoni suppliers na demand wanaoweza kumove soko?
- Unapo place oders mfano sell na soko likaenda upande wako na kuhit take profit yako, unaamini na wewe umechangia kumove soko chini(kudevalue currrecy price)?
Knowledge practice practiceNina elf 50 (Tsh) I'm I good to go, on forex market?