Forex ni scam au real?

Natumia stragrey simple tu ila naaanza monthly , weekly na day kutafuta direction ya market halafu entry kwenye 4h tim
ok sawa mkuu, unatumia vigezo gani kupata hizo entries zako? pale unapotumia mult time analysis??
 
Cut

To cust story short ni gambling umepiga mule mule hakuna wa kunidanganya dunia hii market makers wanachukua kwa loosers wale vibua😂😂😂

Those have profiting aassuarance are dealers through training ,public seminars, selling learning materials kwishnei
Tufanye hivi achukuliwe watu wawili wote wapewe laki mbili mbili alafu mmoja abet na mwingine atrade forex, then baada ya mwezi ufanye asses
 
mkuu hivi bank wanatumia sofware gani kutrade? na wanatumia broker kama sisi kudepost hela zao? na wakiwin postion nabahni anawalipa??i
Kuhusu software sijui, labda uende benki uulize.

Forex inayofanywa na benki(Tz) si sawa na inayofanywa na wewe.

USICHANGANYE FOREX YA BENKI NA YA KWAKO UNAYOTUMIA MT4
 
ok sawa mkuu mi nilifikiri kwamba , kwanza forex zipo za aina mbili ya kwanza ni real forex ambayo unaexchage currency moja kwenda nyingine pysically yaani mfano unaenda benki unawapa usd wanakupa tsh hiyo ndo real forex, sema unaexchange pasipo kutumia spot rate, spot rate naamanisha bei ya sasa mfano usd against tsh ile ya mtandaoni ukiigoogle sasa wanachofanya wanatengeza rate mpya mfano 1 tsh =2350 tsh hiyo ni spot rate, ukienda benki utakuta wameishusha mfano 1usd=2300tsh, wakiwa na lengo la kuprofit tsh 50 pia kukeep risk inayoweza tokea, hiyo ni mkono kwa mkono, inayofata real forex nyingne inafanyika katika mfumo wa electronic ambao ni virtual nakupa mfano rahisi chukulia unatrade forex kwa kutumia OANDA broker, na chukulia umepiga usd 100000 sasa unataka uwithdraw na njia broker anayoruhusu mfano tanzania ni bank tranfer na bank unayotumia ni ABSA, sasa broker anakuingizia bank, bank zinaingia kwa TSH na sio USD , bank nayo itaziconvert USD to TSH sio kwa spot rate ya mtandaoni itaishusha thamani ya dola kidogo ili ipate faida sasa hadi hapa nazani umeelewa real forex ilivyo(you exchane real currency to another, yaani mwisho wa siku pesa inaonekana kwa macho na inashikika mikononi)
FOREX ya pili ni CFD, speculation/derivative, amabyo unaifanya kupitia MT4/MT5 ambayo unabuy lot size kupitia kwa broker na mwisho kukuwezesha kununua units of currency PAIR, Mfano USD/CAD, GBP/JPY ambayo dhamani ya PAIR inategemea movement ya real currency ya ask/bid( derivative product, is the product where by it does not have value in it is owns so its value depends in underlying asset , if the underlying asset change its value also the derivative asset change its values, thus why is called derivative financial asset) sasa swali langu ni kwamba na BANK zinfanya CFD kama sisi? na zinatumia MT4/MT5, leverage n.k

na pia huwa napenda nijue nikiwa natrade forex kwa broker flani, na kupitia huyo broker anatumia bank kama liquidty provider je ninapo excute trade yangu nakuwa nakuwa nimeakiakisesi mtandao wa electronic communication network (ECN)??
 
ahaha! speculation ni biashara ya kutabiri(nazani gambling ni kubahatisha, ukiwa na maarifa unaweza tabiri in postve direction ya asset fulani mala nyingi kuliko negative direction na KUBAHITISHA unaweza toa mala chache postve direction ya asset fulani kuliko aliyetabiri kwa maarifa ). your predicting the future price.. sema huku kwenye forex naonanga wanafanya kitu kinaitwa maximizing probability of event.. kadri unavyozidi kusoma sanaa na kuelewa ndivyo unavyoongezaa probability, na ukishafikia 90% probabilty ya pair fulani.. basi tabia zianakuwa hazibadiliki sanaa, so unakuwa na some how SURE EVENT japo bado bado unadili na PROBABILTY. yaani wale waliosoma sana tena sana nazani probability ya EVENT huwa 0.7+, hapa maanayake anauhakika kupata 5 position out of 10 position, ukiapply na RISK MANAGEMENT unajikuta muda huo unapoteza pesa na muda huo unaingiza pesa zaidi ya ulizopoteza. sema kwenye mambo ya fedha speculation wanaiterm ni PROBABILTY BUSNESS. na wajuzi wa mambo wanasema ukiweza kufanya uchambuzi na probabilty yako ikawa 0.7+ kujumulisha na good risk management, basi unahesabika unafanya BUSNESS Na siyo GAMBLING kwa sababu unaijua nje ndani asset husikaa, yaani unapata postve feedback in longterm, na pia unapofanya speculation busness pasipokuwa na maarifa sahihi ya asset husika basi utaesabika hufanyi biashara bali unafanya GAMBLING, So naweza kusema unaweza fanya FOREX kama busness endapo tu unauelewa wa asset husikaa inavomove nje ndani simanishi 100% unajua direction ya movement hapana, namanisha ukiifanya mwisho wa siko uwe na uwezo wa kukuza xxx cash ammount , e.g usd 20 to 21usd,22usd n.k, na pia unaweza fanya FOREX kwa kugamble, unaplace buy au sell bila kujua kiundani kwa nn nimebonyeza sell au buy, na pia ukiotea mwelekeo unapiga pesa na ukikosea direction unapigwaa, GAMBLERS they dont have skillls to maximizing their probabity to 0.7+ and GOOD ONES can do it, so this GAME is PROBABILITY GAME, The more you know probabilty of asset the more you earn and opposte is true
WAJUMBE NI MAWAZO TU, KAMA KUNAWAJUZI WENGINE WANAWEZA ONGEZEA.
Unaweza uka win hata ukiwa na probability ya 0.2 mkuu Ina depend how much you loose when you're wrong and how much you gain when you're right
 
ok sawa mkuu mi nilifikiri kwamba , kwanza forex zipo za aina mbili ya kwanza ni real forex ambayo unaexchage currency moja kwenda nyingine pysically yaani mfano unaenda benki unawapa usd wanakupa tsh hiyo ndo real forex, sema unaexchange pasipo kutumia spot rate, spot rate naamanisha bei ya sasa mfano usd against tsh ile ya mtandaoni ukiigoogle sasa wanachofanya wanatengeza rate mpya mfano 1 tsh =2350 tsh hiyo ni spot rate, ukienda benki utakuta wameishusha mfano 1usd=2300tsh, wakiwa na lengo la kuprofit tsh 50 pia kukeep risk inayoweza tokea, hiyo ni mkono kwa mkono, inayofata real forex nyingne inafanyika katika mfumo wa electronic ambao ni virtual nakupa mfano rahisi chukulia unatrade forex kwa kutumia OANDA broker, na chukulia umepiga usd 100000 sasa unataka uwithdraw na njia broker anayoruhusu mfano tanzania ni bank tranfer na bank unayotumia ni ABSA, sasa broker anakuingizia bank, bank zinaingia kwa TSH na sio USD , bank nayo itaziconvert USD to TSH sio kwa spot rate ya mtandaoni itaishusha thamani ya dola kidogo ili ipate faida sasa hadi hapa nazani umeelewa real forex ilivyo(you exchane real currency to another, yaani mwisho wa siku pesa inaonekana kwa macho na inashikika mikononi)
FOREX ya pili ni CFD, speculation/derivative, amabyo unaifanya kupitia MT4/MT5 ambayo unabuy lot size kupitia kwa broker na mwisho kukuwezesha kununua units of currency PAIR, Mfano USD/CAD, GBP/JPY ambayo dhamani ya PAIR inategemea movement ya real currency ya ask/bid( derivative product, is the product where by it does not have value in it is owns so its value depends in underlying asset , if the underlying asset change its value also the derivative asset change its values, thus why is called derivative financial asset) sasa swali langu ni kwamba na BANK zinafanya CFD kama sisi? na zinatumia MT4/MT5, leverage n.k

na pia huwa napenda nijue nikiwa natrade forex kwa broker flani, na kupitia huyo broker anatumia bank kama liquidty provider je ninapo excute trade yangu nakuwa nakuwa nimeakiakisesi mtandao wa electronic communication network (ECN)??
 
ok sawa mkuu mi nilifikiri kwamba , kwanza forex zipo za aina mbili ya kwanza ni real forex ambayo unaexchage currency moja kwenda nyingine pysically yaani mfano unaenda benki unawapa usd wanakupa tsh hiyo ndo real forex, sema unaexchange pasipo kutumia spot rate, spot rate naamanisha bei ya sasa mfano usd against tsh ile ya mtandaoni ukiigoogle sasa wanachofanya wanatengeza rate mpya mfano 1 tsh =2350 tsh hiyo ni spot rate, ukienda benki utakuta wameishusha mfano 1usd=2300tsh, wakiwa na lengo la kuprofit tsh 50 pia kukeep risk inayoweza tokea, hiyo ni mkono kwa mkono, inayofata real forex nyingne inafanyika katika mfumo wa electronic ambao ni virtual nakupa mfano rahisi chukulia unatrade forex kwa kutumia OANDA broker, na chukulia umepiga usd 100000 sasa unataka uwithdraw na njia broker anayoruhusu mfano tanzania ni bank tranfer na bank unayotumia ni ABSA, sasa broker anakuingizia bank, bank zinaingia kwa TSH na sio USD , bank nayo itaziconvert USD to TSH sio kwa spot rate ya mtandaoni itaishusha thamani ya dola kidogo ili ipate faida sasa hadi hapa nazani umeelewa real forex ilivyo(you exchane real currency to another, yaani mwisho wa siku pesa inaonekana kwa macho na inashikika mikononi)
FOREX ya pili ni CFD, speculation/derivative, amabyo unaifanya kupitia MT4/MT5 ambayo unabuy lot size kupitia kwa broker na mwisho kukuwezesha kununua units of currency PAIR, Mfano USD/CAD, GBP/JPY ambayo dhamani ya PAIR inategemea movement ya real currency ya ask/bid( derivative product, is the product where by it does not have value in it is owns so its value depends in underlying asset , if the underlying asset change its value also the derivative asset change its values, thus why is called derivative financial asset) sasa swali langu ni kwamba na BANK zinfanya CFD kama sisi? na zinatumia MT4/MT5, leverage n.k

na pia huwa napenda nijue nikiwa natrade forex kwa broker flani, na kupitia huyo broker anatumia bank kama liquidty provider je ninapo excute trade yangu nakuwa nakuwa nimeakiakisesi mtandao wa electronic communication network (ECN)??
Hapo ni digital and analogy foreign exchange of currency unaongelea. Ni kitu kimoja. Nikikupa milioni Kashi na ya mpesa bado ni hela.
Pia waweza kuziweka ndani hizo Dola zako ama ukaziweka kwa akaunti so TZs ikifika 2500 unauza Dola zako mkuu.
Mbona hii ni biashara Kama biashara zingine tu.
Mfano walionunu mpunga mwaka Jana saivi Bei haijapanda Mana wakulima wamevuna Tena so unaweza ukashuka sana ama unapanda Sana inategemeana na wao walivyofanya speculation.

Hata duka unaweza ukafungua na bado ukalifunga, waweza Soma na bado ukapigika mtaani mpaka unazeeka kwani iyo sio kubeti Kama watu waitavyo forex.

Ishu watu hawajafanya research tosha na ni ngumu kweli sio kirahisi.
Jiulize unasoma miaka mingapi mpaka unakuwa hakimu na level ya jaji sio muda wa kitoto.
Pia is the professional like any other professional aka career.
Mie ambaye ananibishia kuwa kila kitu kwenye maisha kama sio betting aje hapa aniambie jamani.
Pale CoET udsm tumeacha washkaji wengi Sana 1,2,3&4 year wanadisco mpaka ilikuwa inaniuma Mana nikikumbuka msoto from 13 classes prior CoET ulivyo mgumu.

Hata mke unaoa ni kubeti anaweza asikuzalie ama akakuacha baadaye.
Sema Kama unafanya kitu afu hukijui ndo gambling mentality yaani unajilipua tu kuwa liwalo na liwe bana.

Doing anything without knowing it well is highest risk of all.
Forex unaamua how much to bet
 
I know nothing juu ya uchezaji wa forex.lakini nakumbuka Mwalimu wangu (Padre) sasa hivi ni Marehemu alipokuwa anatufundiaha Micro Economics topic ya Foreign Exchange alituambia Biashara pekee ambayo MTU anaweza akafanya pasipo kumudhurumu MTU mwingine ni hiyo ya foreign exchange, na tulipokuwa tunasoma mifano tuliyokuwa tunapewa na hizo currency ambazo bank wanabadilisha.

Kwa Mimi niliosoma Uchumi kwa maoni yangu ni kuwa Forex exchange ni real na sio gambling kama wengine wanavyosema humu.
 
sasa swali langu ni kwamba na BANK zinfanya CFD kama sisi? na zinatumia MT4/MT5, leverage n.k
Haya maswali umeshajijibu.

Lakuongeza ni kwamba kwa hapa Tz benki za biashara zinaweka hela zake B.O.T na hizo hela baadhi ni za wateja hivyo haiwezekani wakaruhusiwa kutrade forex unayotrade wewe ya kutumia leverage.
 
Back
Top Bottom