Forever Living imeniachanisha na mke wangu

Forever Living imeniachanisha na mke wangu

MZIBHAZI

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
520
Reaction score
139
Mke wangu tangu ajuinge forever living amebadilika kabisaa kwanza amekua na jeuri na amekua haoni umuhimu wa mahusiano yake anadema hana shida na mme.

Ni mtu wa jeuri kwa sasa. Nimejitaidi kumusihisi abadilike hakunaa, nimetumia hata rafiki zake lakini hakuna.

Sinui kapata bwana huko? Amekuwa jeuri sana, kabadilika sana sana yani sijui nifanye nini.

I hate Forever Living
 
Mke wangu tangu ajuinge forever living amebadilika kabisaa kwanza amekua na jeuri na amekua haoni umuhimu wa mahusiano yake anasema hana shida na mme ni mtu wa jeuri.

Kwa sasa nimejitaidi kumusihisi abadilike hakunaa nimetumia hata rafiki zake lakini hakuna sijui kapata bwana hukoo amekua jeuri sana kabadilika sana sana yani sijui nifanye nini.

I hate foreverliving.
 
Wana kitu wenye wanakita mikutano ya kibiashara na mteja. Sasa wateja wengine unakuta hawana shida na hizo bidhaa wanataka huyo mwanamke, ndiyo hapo utakapoona manyoya tu. Kwanza bidhaa zao nyingi ni za gharama kwa hiyo wanaenda kwa watu wenye uwezo ndiyo huko wanapoliwa. Alafu ni biashara ya kiguu na njia. wanaliwa sana tena maofisini wakija.
 
kuna na awa wadada wanaotafuta watu wa mikopo kama bayport,wanabembeleza watu wakope wateja wengia tukutane hotelini wakifika kule wanaliwa harafu ndio mtu anakopa,maana wanakuwa wanapata 7 to 10 percent niko na ushahidi ni hatari kama mpenzi wako wa kike anafanya hizo kazi hesabu umekula hasara
 
Mkiona wenza wenu macho yapo utosini jaribuni kuangalia aina za biashara mnazowaruhusu kufanya-hizi za kubembeleza wanunuzi hazifai!!!!!!!!!
uko rait,kabla cjaoa mademu wangu wengi walikuwa loan officers na marketing wa products ka za Forever,anakuja na products zake unamnunulia mwenyewe,nauli na voda unampatia,akikupigia next tym unamwambia nipo nyumbani mwenyewe
 
Keshaolewa na forever living, achana nae atakusumbua.
 
mh kuna kitu muzee sio hayo madawa
Labda kapata bwana mwingine
Tafakari na uchukue hatua haraka saaaana
 
Wewe Ndo ---- Kabisa,wanaume Kama Wewe Huwa Mnanikera Sana,kwanza Nyambaf Zako,mke Wako Ana Dalili Zote Za Kugawa Papuchi Nje Ya Ndoa Wewe Unakuja Hapa Unalia,unalia Nini? Eti Mke Wangu Amekuwa Kiburi Hasikii,mpige Chini Utafute Mwingine Umekaa Kama Zoba Zoba Tu Hadi Uletewe UKIMWI Ndo Akili Ikukae Vizuri,unaposoma Huu Uzi Wangu Rudi Nyumbani Haraka Kaifukuze Hiyo Kenge,wanawake Wote Hawa Walivyojaa Duniani Kama Mchanga Wa Bahari Wewe Unalia Lia Ujinga Hapa? Au Anakutunza Huna Kazi Yoyote Au Biashara Ya Kuingiza Kipato? Kama Hakutunzi Vunja Ndoa Hiyo Ya Kijinga,imeshaingia Doa Tayari,ukiendelea Kukaa Naye Utakuja Humu Siku Moja Unataka Kujiua Yamekukuta Makubwa Zaidi.
 
Hiyo ndio Forever tena sahau kuhusu huyo manzi.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Back
Top Bottom