Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,688
- 140,355
Umeanza kutetea ujinga sio? Au Ndio ile ya Hostel za UDHiyo ni Expansion Joint
Force account ni jangaHiyo ni Expansion Joint
Umenihukumu huku ya UDSM kumbe unayajua! umenioneaUmeanza kutetea ujinga sio? Au Ndio ile ya Hostel za UD
Utaweweseka sana na marehemu.Hiyo ni Expansion Joint
Na hasa marehemu ambaye hakupokelewa mbinguni, inasemekana wakifukuzwa mbinguni wanarudi Duniani na kuwa MapepoUtaweweseka sana na marehemu.
Watu washaongeza sifuli, wakapiga mshindo wamesepa, wamejenga jengo la Milioni 10, zilizobaki 20 watu wametafuna.Wanafunzi 30 pamoja na Mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari, Tumaini Jema, iliyopo Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya jengo moja la darasa walilokuwa wakisomea kuanguka kutokana na upepo mkali.
Wanafunzi hao pamoja na Mwalimu wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Same, ambapo hali zao zinaendelea kuimarika ambapo kutokana na tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, akiambatana na Kamati ya Usalama ya wilaya, amefika katika Shule hiyo na kusimamisha shughuli zote za masomo kwa muda wa siku saba ili kupisha uchunguzi wa kina wa kubaini chanzo cha kuanguka kwa jengo hilo.
Ameagiza Jeshi la Polisi, TAKUKURU, pamoja na Wataalamu wa ujenzi wa Halmashauri kufanya uchunguzi wa ajali hiyo na pia kukagua ubora wa majengo mengine Shuleni hapo “Kwa wiki hii yote, nawaombeni msitishe shughuli za masomo hapa Shuleni ili kupisha uchunguzi wa kina kuhusu ubora wa majengo haya”
Jeshi la Polisi, TAKUKURU, pamoja na Wataalamu wa ujenzi wa Halmashauri fanyeni uchunguzi ili tujiridhishe na usalama wa majengo haya, kama itabainika kuwa yapo chini ya kiwango, italazimika kubomolewa ili kulinda usalama wa Wanafunzi wetu,”
Mkuu wa Wilaya amewatembelea pia Wanafunzi na Mwalimu waliolazwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu, ambapo amewajulia hali na kuwapa pole kutokana na tukio
Hiyo mbingu labda ya ufipa, kama ya mbinguni ya mwenyezi Mungu hiyo huna ujualo.Na hasa marehemu ambaye hakupokelewa mbinguni, inasemekana wakifukuzwa mbinguni wanarudi Duniani na kuwa Mapepo
Kwani ulimwona huko ‘mbinguni’. Kama sio uzuzu huo ni nini?😎Na hasa marehemu ambaye hakupokelewa mbinguni, inasemekana wakifukuzwa mbinguni wanarudi Duniani na kuwa Mapepo
Wakati mwingine picha ni muhimu Sanaa.Wanafunzi 30 pamoja na Mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari, Tumaini Jema, iliyopo Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya jengo moja la darasa walilokuwa wakisomea kuanguka kutokana na upepo mkali.
Wanafunzi hao pamoja na Mwalimu wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Same, ambapo hali zao zinaendelea kuimarika ambapo kutokana na tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, akiambatana na Kamati ya Usalama ya wilaya, amefika katika Shule hiyo na kusimamisha shughuli zote za masomo kwa muda wa siku saba ili kupisha uchunguzi wa kina wa kubaini chanzo cha kuanguka kwa jengo hilo.
Ameagiza Jeshi la Polisi, TAKUKURU, pamoja na Wataalamu wa ujenzi wa Halmashauri kufanya uchunguzi wa ajali hiyo na pia kukagua ubora wa majengo mengine Shuleni hapo “Kwa wiki hii yote, nawaombeni msitishe shughuli za masomo hapa Shuleni ili kupisha uchunguzi wa kina kuhusu ubora wa majengo haya”
Jeshi la Polisi, TAKUKURU, pamoja na Wataalamu wa ujenzi wa Halmashauri fanyeni uchunguzi ili tujiridhishe na usalama wa majengo haya, kama itabainika kuwa yapo chini ya kiwango, italazimika kubomolewa ili kulinda usalama wa Wanafunzi wetu,”
Mkuu wa Wilaya amewatembelea pia Wanafunzi na Mwalimu waliolazwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu, ambapo amewajulia hali na kuwapa pole kutokana na tukio
Haya ni Matunda machungu yatokanayo na kuwepo kwa ubabaishaji kwenye suala nyeti la Utawala wa nchi.Wanafunzi 30 pamoja na Mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari, Tumaini Jema, iliyopo Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya jengo moja la darasa walilokuwa wakisomea kuanguka kutokana na upepo mkali.
Wanafunzi hao pamoja na Mwalimu wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Same, ambapo hali zao zinaendelea kuimarika ambapo kutokana na tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, akiambatana na Kamati ya Usalama ya wilaya, amefika katika Shule hiyo na kusimamisha shughuli zote za masomo kwa muda wa siku saba ili kupisha uchunguzi wa kina wa kubaini chanzo cha kuanguka kwa jengo hilo.
Ameagiza Jeshi la Polisi, TAKUKURU, pamoja na Wataalamu wa ujenzi wa Halmashauri kufanya uchunguzi wa ajali hiyo na pia kukagua ubora wa majengo mengine Shuleni hapo “Kwa wiki hii yote, nawaombeni msitishe shughuli za masomo hapa Shuleni ili kupisha uchunguzi wa kina kuhusu ubora wa majengo haya”
Jeshi la Polisi, TAKUKURU, pamoja na Wataalamu wa ujenzi wa Halmashauri fanyeni uchunguzi ili tujiridhishe na usalama wa majengo haya, kama itabainika kuwa yapo chini ya kiwango, italazimika kubomolewa ili kulinda usalama wa Wanafunzi wetu,”
Mkuu wa Wilaya amewatembelea pia Wanafunzi na Mwalimu waliolazwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu, ambapo amewajulia hali na kuwapa pole kutokana na tukio
NimewekaWakati mwingine picha ni muhimu Sanaa.
Pole nyingi Sana kwa wanafunzi na walimu na wotee walio guswa na hili
Dhahama.