Wakenya walikuwa wapi kuhusu ya "Samunge"? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakenya walikuwa wapi kuhusu ya "Samunge"?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ngoshwe, Mar 30, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ‘Magic herb’ is well known to Kenyan scientists

  [​IMG] File | NATION Scientists have linked this plant, known as as mtandamboo in Kiswahili, to the Loliondo ‘wonder drug’. Studies show extracts from the plant can cure various diseases, including a drug-resistant form of herpes virus and chest pains.

  The ‘magic herb’ that has made thousands of people flock to remote Loliondo village in Tanzania was identified by Kenyan scientists four years ago as a cure for a drug-resistant strain of a sexually transmitted disease.

  An expert on herbal medicine also said yesterday the herb is one of the most common traditional cures for many diseases. It is known as *mtandamboo* in Kiswahili and it has been used for the treatment of gonorrhoea among the Maasai, Samburu and Kikuyu.

  The Kamba refer to it as mukawa or mutote and use it for chest pains, while the Nandi boil the leaves and bark to treat breast cancer, headache and chest pains.

  Four years ago, local researchers turned to the plant for the treatment of a virus that causes herpes. Led by Dr Festus M Tolo of the Kenya Medical Research Institute (Kemri), the team from the University of Nairobi and the National Museums of Kenya found the herb could provide alternative remedy for herpes infections.

  “An extract preparation from the roots of Carissa edulis, a medicinal plant locally growing in Kenya, has exhibited remarkable anti-herpes virus activity for both wild type and drug resistant strains,” they reported in the Journal of Ethnopharmacology.

  No negative effects

  “The mortality rate for mice treated with extract was also significantly reduced by between 70 and 90 per cent as compared with the infected untreated mice that exhibited 100 per cent mortality.”

  The researchers reported that the extract did not have any negative effects on the mice.

  Mrs Grace Ngugi, head of economic ethnobotany at the National Museums of Kenya, said the plant was not poisonous as feared earlier.

  Further studies have shown the plant to contain ingredients that make it a good diuretic. Diuretics are drugs used to increase the frequency of urination to remove excess fluid in the body, a condition that comes with medical conditions such as congestive heart failure, liver and kidney disease.

  Some diuretics are also used for the treatment of high blood pressure. These drugs act on the kidneys to increase urine output, reducing the amount of fluid in the blood, which in turn lowers blood pressure.

  A study at the Addis Ababa University in Ethiopia found the herb was a powerful diuretic. It is found in many parts of the country and is used to treat headache, rheumatism, gonorrhoea, syphilis and rabies, among other diseases.

  The Ethiopians tested its potency on mice and found it increased the frequency of urination. This was more so when an extract from the bark of the root was used.

  “These findings support the traditional use of Carissa spp. as a diuretic agent,” write the researchers in the Journal of Alternative Medicine.

  The Kemri study also isolated other compounds from the herb, including oleuropein, an immune booster, and lupeol. Lupeol, according to researchers from the University of Wisconsin, US, was found to act against cancerous cells in mice.

  “We showed that lupeol possesses antitumor-promoting effects in a mouse and should be evaluated further,” wrote Dr Mohammad Saleem, a dermatologist.

  Mrs Ngugi said the herb was one of the most prevalent traditional cures and herbalists harvest roots, barks and even the fruits to make concoctions for many diseases.

  “Among the Mbeere and Tharaka people where the fruit is called ngawa, the plant is used for the treatment of malaria. The fruits, when ripe, are eaten by both children and adults,” she said.

  Daily Nation:*- News*|

  My Take:

  Huku kwetu Tanzania, mambo mengi yanakwenda kirahisi mno kutokana na siasa kutawala kila nyanja hata katika mambo "serious"

  Haya ya "Kwa Babu Samunge" yanafanyika Tanzania kwa ajili ya kuitangazia dunia ugunduzi wa tiba ya magonjwa sugu ilihali hakuna sheria yeyote ya kulinda nasaba za mimea (Protection of Plant Genetic Resources) ambayo ingetuwezesha kuwa na utaratibu maalumu ya kulinda na kuendeleza asili za mimea maalufu, wagunduzi wake na maeneo itokako ikiwemo miti inayosaidia katika matibabu (medicinal plants) kama huu wa Loliondo. Twawajua wenzetu wakenya walivyo "smart", wameshaanza mchakato wa kujaribu kuvuta hisia za mataifa kuwa ugunduzi wa mti husika ulianzia Kenya. Ni wakati sasa Serikali ya Tanzania kupitisha haraka sheria inayolinda nasaba zetu ili hata zinapochukuliwa kwa ajili ya utafiti wa kimataifa ziweze kutambulika asili yake.

  Histori ya mmea wa "shubiri" (alovera) ingeweza kutupa funzo kubwa ambapo kwa hivi sana karibia kila nchi duniani inalima na pengine kuweza kudai asili yake kutokana na kukua kwa technolojia kulikopelekwa kuwepo kwa jamii mbalimbali za mmea huo.
   
 2. Muro

  Muro Senior Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngoshwe hongera kwa taarifa nzuri naomba usichoke kuleta taarifa kama hizi,kwani kuna mmea mmoja unaopatikana katika milima ya Uluguru pekee jina nimesahau ulichukuliwa na wakoloni na kuu propagate huko Ulaya hivi sasa wanafanya biashara kubwa sana ya mamilioni ya dola kwa kuutumia huo mmea kama maua,hakuna kinachoingia katika coffers zetu kama rights kwa sababu ya kukosa sheria ya Protection of Plant Genetic Resources na ipo mifano mingi zaidi inayohusu wanyama kama Mbuni,fossils za Dinosour n.k Hata hili la mmea wa babu tusipoangalia lazima tupigwe bao la kisigino
   
 3. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Sawia Mkuu,

  Kuna wakati (miaka ya hivi karibuni sana) wataalamu wa chuo kikuu cha SUA kwa kushirkina na "wakoloni (wathungu)" waliandika jitabu mmoja kubwa sana ambalo limesheheni lundo la mimea inayopatikana hapa nchini ikiwa na majina yake ya kigeni na kiasi (Botanical name, common name and local names) maeneo inayopatikana, na umuhimu wake katika jamii (ikitumika kama dawa za asili au chakula nk). Kinafanana na kitabu fulani chaitwa " Indigenous knowledge of medicinal trees and setting priorities for their domestication in Shinyanga Region, Tanzania"
  http://books.google.co.uk/books?id=0IijGAwvzssC&pg=PA2&lpg=PA2&dq=The+Book+describe+medicinal+trees+in+Tanzania&source=bl&ots=blUt4JJ_xg&sig=j630O4xapl56n80EB9fMhIqV1RU&hl=en&ei=ZRuYTYfNDM6dOoa52b0H&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBkQ6AEwAA#v=onepage&q=The%20Book%20describe%20medicinal%20trees%20in%20Tanzania&f=false.

  Hicho kitabu kimekuwa kikitumiwa na watafiti mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kufuatilia baadhi ya miti hiyo. Niliwahi kusikia kuwa watu wa COSTECH ndio wanaohusika katika kuidhinisha utafiti lakini kupitia hilo jitabu, huwezi kumzuia mtafiti kwenda moja kwa moja kwenye local community husika na kuwaadaa kutoa taarifa za kumwezesha kufanya "extraction" ya miti hiyo kinyume na utaratibu ( "piracy" ). Kwa kuwa hatuna sheria inayolinda nasaba hizo wala ujuzi wa asili katika matumizi ya miti nk (Traditional Knowledge - "TK"), Tanzania hatutaweza kunufaika na miti yoyote ya asili wa teknolojia ya matumizi yake iwapo itachukuliwa na kutumika nje ya nchi nk.

  Kwa sasa tunaweza tu kutambua, kulinda na kuendeleza kupitia sheria ujuzi wa wabunifu na wagunduzi wa kazi za kisayansi zaidi kupitia sheria za Hataza (Patent Act); Hakimiliki za mali bunifu (Copyright and Neighbouring Rights Act ) Nembo na vielelezo vya kibiashara (Trade and Service Marks Act) pamoja na Hakimiliki za Wagunduzi wa Mbegu za mazao ya kilimo (Plant Breeders Rights).
   
 4. K

  Kipimautu Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2007
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wizi huu umeendelea kuwepo kwa kipindi kirefu sasa.
  Tunapaswa kufanya study ya 'Bio-Piracy in Tanzania'
  kisha itungwe sheria ya kupambana na uharamia huo. la sivyo hawa wakenya na wenzao A.K.A manyang'au watatufilisi!
  naomba kutoa hoja.
   
Loading...