Forbes releases African rich list...

NA HUYO UHURU KENYATTA PESA ZOTE HiZO AMEZITOA WAPI KAMA SIO UBADHILIFU NA UFISADI?
 
Uhuru Kenyatta na Wakenya wengi ni matajiri.Usifananishe Utajiri wa Watanzania wengi mafisadi wanaobebwa na Ccm angalieni utajiri ulio wazi.Most of Kenyas, ni Matajiri wasiojificha.
 
Dangote mtu wa makaratee sana umkimletea ushindani unaweza katiwa umeme kiwandani kwako wiki bse serikali iko mkononi mwake
 
forbes kuhusu Bhakresa wamesema labda miaka ya mbele anaweza ingia kwenye list
Nationality: TanzanianSource: Bakhresa GroupThe extremely reclusive Tanzanian tycoon famously dropped out of school at the age of 14 to sell potato mix, then opened a small restaurant and then finally delved into grain milling. Today, his Bakhresa group employs over 2,000 people and is Tanzania's largest conglomerate. The company's interests include grain milling, confectionaries, frozen foods, beverages and packaging. The group's Azam brand is the most popular manufacturer of chocolates and ice cream in the region. The $800 million (sales) group is also the largest producer of wheat flour in East Africa. Daily capacity: 2,100 metric tons. Company is managed by his sons.
 
Mimi nadhani data wanazotumia Forbes katika kuonesha viwango vya utajiri vya mtu au watu uwa sio sahihi sana. Nina hakika wapo watu wengi wenye utajiri mkubwa lakini kutokana na watu hao kutokuwa na umaarufu basi. Kwa mfano kwa Kenya nimesikia mtu anayeitwa Naushad Merali kama tajiri mkubwa kabisa Kenya.
Na nikiangalia hata huyu Uhuru Kenyata nadhani vitega uchumi vingi alivyonavyo ni vya familia.
Na kwa Tz wapo akina Bakhressa na hata yule Mwarabu aliye- bid kuinunua Liverpool Fc.
 
forbes kuhusu Bhakresa wamesema labda miaka ya mbele anaweza ingia kwenye list
Nationality: TanzanianSource: Bakhresa GroupThe extremely reclusive Tanzanian tycoon famously dropped out of school at the age of 14 to sell potato mix, then opened a small restaurant and then finally delved into grain milling. Today, his Bakhresa group employs over 2,000 people and is Tanzanias largest conglomerate. The companys interests include grain milling, confectionaries, frozen foods, beverages and packaging. The groups Azam brand is the most popular manufacturer of chocolates and ice cream in the region. The $800 million (sales) group is also the largest producer of wheat flour in East Africa. Daily capacity: 2,100 metric tons. Company is managed by his sons.

School drop out at age 14? Ha ha ha haaa!
God rewards those who dare!
 
Uhuru Kenyatta na Wakenya wengi ni matajiri.Usifananishe Utajiri wa Watanzania wengi mafisadi wanaobebwa na Ccm angalieni utajiri ulio wazi.Most of Kenyas, ni Matajiri wasiojificha.
Wote wanastahili kunyea debe maana ni wezi wa kupindukia, wameiba toka nchi imepata huru hawajachoka. Haiwezekani mtu mmoja akawa anamiliki nusu nzima ya ardhi ya Nairobi na maeneo karibia yote ya pwani ya Mombasa wakati watu wengine hawana hata pa kulala.
 
Wote wanastahili kunyea debe maana ni wezi wa kupindukia, wameiba toka nchi imepata huru hawajachoka. Haiwezekani mtu mmoja akawa anamiliki nusu nzima ya ardhi ya Nairobi na maeneo karibia yote ya pwani ya Mombasa wakati watu wengine hawana hata pa kulala.

Well said Mkuu
 
Forbes magazine's inaugural list of the 40 richest people in Africa put Nigeria's Aliko Dangote as Africa's richest man. Dangote with a stake in Dangote Cement and interests in flour milling and sugar refining, has a fortune of $10.1bn (£6.4bn).

The inaugural list puts South Africa's Nicky Oppenheimer at number two with $6.5bn.

Two Kenyans Uhuru Kenyatta and Chris Kirubi appear on the list in the 26th and 31st position. Uhuru who is 50 years old has a fortune of $500 million (Sh45 billion) while Kirubi's fortune is valued at $300million (Sh29 billion).
The magazine ignored dispersed family fortunes, such as the Chandaria family of Kenya.

Forbes said it had reached the values using stock prices for publicly-traded companies and estimates of revenues or profits for the many privately-held businesses.


Hiyo sh 45 bn ni Tsh, Ksh au Ush?
 
RankNameNet Worth ($mil)Age1 Aliko Dangote10,100 542 Nicky Oppenheimer & family6,500 663 Nassef Sawiris4,750 504 Johann Rupert & family4,700 615 Mike Adenuga4,300 586 Miloud Chaabi3,000 827 Naguib Sawiris2,900 578 Christoffel Wiese2,700 709 Onsi Sawiris2,600 8110 Patrice Motsepe2,500 4911 Othman Benjelloun2,400 7912 Anas Sefrioui1,750 5413 Mohamed Mansour1,700 6314 Yasseen Mansour1,550 5014 Youssef Mansour1,550 6616 Mohamed Al Fayed1,300 7817 Jim Ovia775 5718 Lauritz (Laurie) Dippenaar750 6319 Shafik Gabr730 5920 Stephen Saad640 4721 Theophilus Danjuma600 7222 Alami Lazraq575 6123 Samih Sawiris560 5424 Oba Otudeko550 6725 Raymond Ackerman545 8026 Uhuru Kenyatta500 5027 Gerrit Thomas (GT) Ferreira460 6328 Hakeem Belo-Osagie450 5629 Abdulsamad Rabiu400 NA30 Mohammed Indimi330 6331 Chris Kirubi300 7031 Jannie Mouton300 6433 Michiel Le Roux290 6234 Adrian Gore280 4734 Strive Masiyiwa280 5136 Cyril Ramaphosa275 5936 Giovanni Ravazzotti275 6838 Mohamed Bensalah270 4139 Markus Jooste260 5040 Paul Harris250 61S
 
Kwani wanatumia kigezo gani? Watanzania wenye billions of money achia mbali assets mbona hatujatajwa?
 
Bado monetary scale za kitanzania ni million kwa wingi. Bilionea kwa Tsh ni wachache sana na ukiichukua kwa dola ni almost hakuna hadi mpaka miaka 200 ijayo.
 
Haya mambo ya utjirii wa watu sana sana upane mwingine yanaelzea umasikini wa watu.

Ukiona USA ina matajiri wengi basi vile vile masikini wakutupwa duniani na wengi vile vile.
Nchi kama Norway na sweede hazina watu wengi kwenye list ya forbes lakini Hizo nchi za scanadnvia ndio generaaly zinaongoza kwa ubora wa maisha ya watu duniani. Kwa nini?

Dont be taken na hizi statictis za kibepri bila kutazama big picture
 
Uhuru Kenyatta na Wakenya wengi ni matajiri.Usifananishe Utajiri wa Watanzania wengi mafisadi wanaobebwa na Ccm angalieni utajiri ulio wazi.Most of Kenyas, ni Matajiri wasiojificha.

Wacha uongo wewe unafahamu mzee Kenyata alipataje utajiri? Ndio hawa waliochukua ardhi yote Kenya na sasa wanataka kuja kuishupalia ya Tanzania kwenye EAC. Mbona wamemwacha Moi, makuwadi wa Forbes bana .... .... ... masikini wa Kenya wanaotunia flying toilets naona wanashangilia hii story. Kweli ukiwa masikini sana hata usome vipi akili zako zinakuwa kama za mtoto mdogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom