Forbes: Africa's Richest Man Faces Challenges In Tanzania; Shuts Down Cement Plant

Wataisoma namba, kumbe alimaanisha hata nje ya mipaka??? Trump jiandae huko uliko kuisoma namba maana hauchagui Wa kuisoma
 
Inasikitisha kwa kweli na kama raisi anaona hayo wanayoyafanya mawaziri yake nakukaa kimya pia inasikitisha
 
Mmmh yeye afunge tu hata achukue na vifaa vyake ni juu yake na uamuzi wake,
Acha tuone mwisho wa huyu jamaa JPM tuone,
Maana kizuri ni kwamba hata waliomchagua wanaisoma basi mororo
 
Si wako kwenye matengenezo jmn hii nchi jmn sisi ndo tutapata shida marekani ndo wangekua wabongo wangeandamana ila sisi mh ngoja tuone picha
 
Si wako kwenye matengenezo jmn hii nchi jmn sisi ndo tutapata shida marekani ndo wangekua wabongo wangeandamana ila sisi mh ngoja tuone picha
Mkuu, African people especially Tanzanian we are not serious any how
 
Ifike wakati Watanzania tukatae unyonge jamani, hali inazidi kuwa ngumu kila kukicha, ni wafanyakazi wangapi watapoteza kazi? Tusicheke na huyu JPM na kumsifia wakati uchumi unadidimia.
Kinachotokea hapa sisi tumekua tunasimuliwa tu sio kwel hao waongo mara wapiga dili ikijulikana ukwel ooh walitaka bure sisi tunakosa ajira wao bado wanamishahara miwili na bado tunacheka kisa mimi nko kazin jiran amekosa ajira ndo mana ushilikina auishi tz jmn kwel tukatae unyonge naunga mkono
 
Gesi ya bure hatuna. From mh. Waziri
Kwa akiri ya kawaida mfanya biashara kama Dangote hawezi taka gas ya bure hata siku moja, wanatafta mlango wa kutokea tu hapo
 
Back
Top Bottom