Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,337
- 9,079
Sasa utawasaidiaje?Kupitia Whatsapp status za watu nimegundua watz wengi hasa wanawake wako desperate na mapenzi na hawajui maana ya mapenzi.
Balaa juu ya balaa, ngoja wapendanao waje![]()
Then u are a lucky woman, u found your better half. Wish i also had myself kidnapped and feel good about tThe funny thing is he enjoys being kidnapped by me.


Ndyooooooh watu na mapenzi yao.





Mapenzi hayana msaada.Sasa utawasaidiaje?
And you are my SOULMATE
Hapo msumeno umekata hapo🤔View attachment 2118989
wengine tyr
akinipenda mama inatoshaaaaaaUnafeli wapi mkuu 😂
Afu ukute kajitu kamoja kanatuhangaisha na hata mpenzi mwenyewe hakana.


