For those who fall in love with someone here

Kuna watu wachache wenye uwezo wa kutamka na kumaaniasha juu ya kitu kuwa cheusi au Cheupe,unapokuja MMU kuna mengi ya kuzingatia kama mdau Eiyer alivyotanabaisha awali.

Kwanza wadau wote wanahali ya kuonyesha yakuwa mahusiano ya kimapenzi wanayajua na wanauzoefu nayo kama vile wapo katika ndoa kama miaka 20 au 30 hivi.

Ukija katika ukweli wa mambo watu wengi wanauswahili katika mahusiano kitu ambacho kimefanya kuwepo kwa malalamiko ya kudumu.

Halafu kwa ushauri wa bure tu,mtu haoi degree,kama unataka kuoa kiwango fulani cha elimu itakuchukua muda kukipata ukitakacho.
 
Last edited by a moderator:

Tulia mkuu, mi nadhan ni utani tu si kweli, juu ya hilo nimejifunza kuwa ww ni mtu ambae ni rahisi kuwa "irritated"!! Pole sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Eiyer unatupeperushia ndege na kuharibu ramani zetu bana
nilikuwa nshafika nae stage nzuriiii nahisi ataahirisha sasa!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahag ila haina shida haja tuharibia tutaendelea tu kama kawaida usitie shaka!

Naona majibu yako yamebadilika baada ya kusoma hii sredi
unanijibu mkato tu, baba paroko kishanifanyia dili yangu kuwa dirisha
 
Wanakuona km mshauri, mpaka waje wakushtukie utakuwa umesakata wengi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…