For These Challenges how My IRRIGATION Successfull???...

Maarab

JF-Expert Member
Jun 21, 2017
415
253
Ndg; hakuna asiye tambua kua Kilimo ni Uti wa mgongo wa Taifa letu..iwe kilimo cha Umwagiliaji ama kile kilimo cha Msimu..zipo changamoto kadhaa ambazo humfanya mkulima kutofikia Malengo yake yaKujikimu kimaisha

Binafsi natatizwa naSerikali yangu hatua inachukua hasa ktk nyanja hii.

Sijajua shida iko wapi ikiwa tuko na wataalim wengi,vyuo navyo vipo pia..sijui haswa hizi Changamoto zinawafikia wataalam wetu ama laah.

Binafsi leo nimeona ni'base ktk Kilimo cha Umwagiliaji (Irrigation)..hapo awali % fulani ya wadau waKilimo hii fursa walikua wanaipuuza kwakua tuu Hali ya hewa haija'athirika kama zama hiz.

tofaut ilioko hapa kati ya vilimo hivi kua hiki Kilimo Irrigation huwa hakitegemei mvua t,bali hata kwa kumwagilia that means: through all season uko na busy kwa Shughuli hio binafsi.

Challenges;
1:MBEGU..hapa ktk Mbegu Presently Most of companies huzalisha mbegu fake.

2:VIPIMO VYA ANALYSIS..
hapa nako ni tatizo na ndiko mzizi mkuu wa awali wakutokujua Mkulima hapa apande hiki na pale apande hiki..

MADAWA TIBA:..
hapa imekua ni mwiba zaidi dawa zaidi ya 12 unaambiwa inatibu ugonjwa 1 tuu.
Thanks:
 
Back
Top Bottom