Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,015
- 2,454
Kiukweli alikuwa nguli wa nyanja hiyo nakuunga mkono mleta uz
Vizuri vingi vina kasoro ndio hivyo tenaUzuri wote huo na utajiri mwingi akanasa kwenye tundu bovu na kuanza kutumia madaya ya kulevya na hatimaye kuangamia!!
As am laying me downI look to you... R.I.P Uliyejua kuimba
In tough times.....whenever in dilemma it's ma best song to listenAs am laying me down
Heavens hear me now
Am lost without a cause
After give it my all
Winter storms has come
And darken my sun
After all that I've been thru
Who on Earth can I turn to...
I look to you...I look to you
After all my strength is gone
In you I can be strong
I look to you...I look to youuuuu
After melodies are gone,in you I hear a sooong...
I look to youuuuu.
Huu wimbo haipiti siku sijausikiliza,na nikiuangalia siwezi kuumaliza bila kulia.
[emoji119] Hakunaga kama Whitney tena.
Hakuna wimbo ninaoupenda/nitakaokuja kuupenda kama huu.In tough times.....whenever in dilemma it's ma best song to listen
Na meno yake je?Umewahi kuiona dental formula yake?Rangi yake tu[emoji7] [emoji7]
Will miss you forever Wit[emoji8] [emoji25] [emoji7]