For The Love of Whitney

For The Love of Whitney

Huyu Wit niliumia sana siku alipokufa, ni muimbaji pekee wa kike wa Marekani ambaye nyimbo zake naielewa zaidi.
 
Huyu mama alikuwa na pitch ya voice haijawahi kuwapo duniani, pengine waimbaji wa kihindi wanjaribu.
 
Nyimbo hizi ni timeless kwangu,
-I will always love you
-Greatest love of all
-I learn from the best
-I have nothing
-I wanna dance with somebody
-I am giving all my love to you ( Wimbo huu ni THE BESTEST)
 
As am laying me down
Heavens hear me now
Am lost without a cause
After give it my all
Winter storms have come
And darken my sun
After all that I've been thru
Who on Earth can I turn to...

I look to you...I look to you
After all my strength is gone
In you I can be strong
I look to you...I look to youuuuu
After melodies are gone,in you I hear a sooong...
I look to youuuuu.

Huu wimbo haipiti siku sijausikiliza,na nikiuangalia siwezi kuumaliza bila kulia.
[emoji119] Hakunaga kama Whitney tena.

Watu walikuwa wanajua kuimba ila hawajui kujidai. Naupenda sana huu wimbo, ikatokea napita sehemu nikasikia unaimba lazima nisimame, hata kama nipo kwenye daladala nitamuomba konda msaada.
 
Back
Top Bottom