For the lazy ass dudes

Tyta toa hiyo picha "namaanisha"
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha siku moja nikiwa Arusha napata kinywaji akina mama wakawa wanaongea (msinitupie mawe kuwa nilikuwa nasikiliza ya jirani, nilikuwa peke yangu na meza zilikuwa karibu sana), mmoja akamwambia mwenzie 'pole mumeo hakurudi leo'. Yule mama akasema afadhali nimepumzika na ule mzigo na nampa pole huyo aliyelala naye leo. Jitu zima kimoja tu tena dakika moja hoi linakoroma hadi asubuhi, kazi kuchafuana tu!

Mazoezi muhimu, tunadharaulika sana.
 
goddamn it my membership gym card was expired let me update it khaaa...:A S 27::A S 27:
 
Kuna wanaume watamu jamani. Not slim but very fit. And attractive. Kuna mmoja humu kudaadeki zake you just wanna jump on him.

mme mwanaume akishakuwa na kitambi napata shida kabisa naona kama nabakwa
 
MKUU mbona umeamua kewaanika hawa wadau wa "kitambi noma" je umapata ruhusa yao?? This is very offensive.
Toa hii picha mara moja or else tutatafutana hapa arusha tukuonyeshe maana ya copy right

tukutane mahakamani...hivi vitu viko public....kitambi noma ni bonanza la wazi..sasa walivyopiga picha ulitegemea nini...
 

Its a crisis am telling you!
 

hoja zako ni za msingi.

1. Wanawake wa bongo mnanepea mpaka inakera. Utamkuta mwanamke ana tumbo kubwa sijui kitambi/mimba/ugonjwa.

2. Wamekuwa mabingwa wa kuchoropoa mimba Kila wakati. si Kinondoni si mbezi si Sinza sehemu zote za kutolea mnazijua.

3. wamekuwa rahisi kutongozwa na kudangwa na vitu vidogo. Mpaka sasa mnatoa kabang bureeee. Hamna tofauti na wanauza papuchi pale ambiance. huko maofisini mnatembeza k kuanzia mabosi, madreva mpaka walinzi. JANGA LA KITAIFA.

4. Wanawaza bia na wanaume tu. Kila usiku mnajirundika kwenye vipub na bar mkitafuta ofa.

Nitaendelea....
 

We mwanamke dah
u HV the guts aiseee
We always point fingers to women and personally I still do vitambi vya wanawake but kwakweli this was needed to be spoken
Guys we need to change aisee mazoezi muhm sana sio lazima ucheze mpira kwa wale Wa basketball o football au gym as real gym but u have to know mazoez Fulani kwaajili ya pumzi na body structure
Example push ups za aina 4 zinayosha kwa pumzi na kujenga mwili
Baiskeli ya mazoez pia kwa wengi I hope we can afford kujiachia sio ishu thanks so much miss wish cud HV known u aisee sijui ningekuapa ofa gani kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…