Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
Hapana Teacher,
Lazima uongee na watu kwa lugha watakayoielewa. Ndo maana enzi hizo kumtajia mtu jambo lolote linahusu uchawi ilikuwa inatosha kumjenga hofu. Hata akina Shekhe Yahaya wanatumia hiyo philosophy bila kujua kuwa mambo yamebadilika.
Katika maisha ya kawaida lazima itumike lugha inayoleta maana halisi (the language which makes senses). Kama ni viboko, vitisho etc.
athari yake ni kuwa watu wanafuta vitu kutokana na hofu......nidhamu ya woga. sio kwa kuelewa maana.
Nakubaliana na wewe DC lugha lazima iwe sambamba na maendeleo ya kijamii, lakini isiwafunge watu sana kwenye woga kiasi cha kuwa wakashindwa kujitambua au hata kushindwa kufanya jambo walilokatazwa pale inapolazimu.