For Men: Ilishawahi kukutokea?

Heh, abiria chunga mzigo wako, wasipouiba wanaweza hata kuutemea mate.

Ndipo utakapoanza tafuta bahari ubungo mataa

Mkuu mbinu ya kumpiga GF exile ni moja ya mbinu nzuri sana ya mwanaume kuwa huru, ni kweli wakati mwingine wadada huwa wanakera maana kwa kuwa wamezoea kubembelezwa na mama au baba zao basi wanahamishia huo upendo kwako, inakeraje!!!
 
He he he , cha ajabu sio

Ila Bad Boys are more exciting, creative and adventurous, sasa good boys kila kitu hapana lol

Mbona unanichanganya hapo red........si kwamba wao kila kitu ndio?
 
He he he , cha ajabu sio

Ila Bad Boys are more exciting, creative and adventurous, sasa good boys kila kitu hapana lol

Konnie namaanisha mwanaume anayejali hisia za mwanamke, so things like being creative or adventurous etc ni part ya wanaumeme gentle
 
Heh, abiria chunga mzigo wako, wasipouiba wanaweza hata kuutemea mate.

Ndipo utakapoanza tafuta bahari ubungo mataa

Wakati mwingine wadada huwa wanamganda mwanaume kama ruba, haswa ukute hajawahi kuonjwa na mwanaume mwingine au katoka kutendwa na mwanaume....utajutaje, kila muda SMS, sijui FB kaweka picha yako na maneno kibao
 
Wakati mwingine wadada huwa wanamganda mwanaume kama ruba, haswa ukute hawahi kuonjwa na mwanaume mwingine au katoka kutendwa na mwanaume....utajutaje, kila muda SMS, sijui FB kaweka picha yako na maneno kibao

Halafu hata hastuki Dunia ilivyojaa sanaa!
 
Wanaume wengi inaonesha hawataki msongamano aka mgandano,sasa basi mkaishi dunia yenu wenyewe ili msigandwe
 
Wanaume wengi inaonesha hawataki msongamano aka mgandano,sasa basi mkaishi dunia yenu wenyewe ili msigandwe

Hapa mkuu suala sio kugandana...ishu ni kuheshimu shughuli nyingine ambazo ni sehemu ya maisha pia. Mapenzi ni ya wawili lakini maisha ni ya mtu mmoja mmoja.
 
Hapa mkuu suala sio kugandana...ishu ni kuheshimu shughuli nyingine ambazo ni sehemu ya maisha pia. Mapenzi ni ya wawili lakini maisha ni ya mtu mmoja mmoja.

oukeyyyy,kuna zle za uko wapi,umekaa na nani,nipe niongee nae na mengineyo teh teh wanawake tunajua kukaba
 
oukeyyyy,kuna zle za uko wapi,umekaa na nani,nipe niongee nae na mengineyo teh teh wanawake tunajua kukaba

Hiyo mi sikatai, mnachokera ni muda wote bila kujua muda mweingine ni wa mihangaiko,,, na pia kutaka kuharibu dreams za watu kwa advantage ya mapenzi,, hela zangu mwenyewe nataka nijaribu deals flani unaanza nikatisha tamaa "ooh baby unajua hii ngumu utapoteza hela, fanya hiki kwanza" hapo ndo mnapokera,,nipe uhuru nifanye nachotaka, na hata kwenye mihangaiko usiniletee simu zako za salamu na kuuliza umekula?
 
hii ilinitokea Simba dume mwenyewe , alinipenda sana hadi leo bado ananipenda...kilichotokea nikiwa chuo ktk stori nikamwambia bumu halijatoka akaniuliza unaishije, nikamwabia kibishi...aliangua kilio ile mbaya akanitumia pesa on spot...siku nyingine nilikuwa nimekaa naye tunapiga stori, mara nikaanza kuumwa tumbo ghafla...alidondosha chozi kubwa sikuamini, siku nyingine tukapishana maneno kidogo tu, alianguka na kuumia vibaya sana ilimlazimu kupelekwa hospital na kushonwa mkono na sehemu nyingine.....kimsingi nakushauri kama umependwa husani na msichana ambaye wewe ndiyo wa kwanza kwake usicheze na moyo wake please
 
Kupewa ushauri muhimu, kuufuata ni hiari
Ruba muhimu, vinginevyo bora utafute kichenchede chenye watu 5, hadi kikukumbuke week end

Muulize na Kongosho inaelekaea yeye pia bado anaishi Ndotoni!
Ukikaa ndotoni utawapata wa ndotoni
Ni kuset standard zako tu

Wakati mwingine wadada huwa wanamganda mwanaume kama ruba, haswa ukute hajawahi kuonjwa na mwanaume mwingine au katoka kutendwa na mwanaume....utajutaje, kila muda SMS, sijui FB kaweka picha yako na maneno kibao

He he he, matangazo muhimu, maana ya yake huwa ni "Be warned, this is a marked tertory"

Konnie namaanisha mwanaume anayejali hisia za mwanamke, so things like being creative or adventurous etc ni part ya wanaumeme gentle

Ungekuwa mwanamke ungenielewa navyosema good boys, they are too good for consumption, labda uwatie ndimu kidogo wachangamke lol
Khah, mwanamme hata hajawahi kimbizwa kwa ugoni!
 
Ngoja niligeuze swali........Hivi kwa nini wasiwepo wadada wa hivyo eeh?

Wakiwepo wewe utawapenda?.......walikuwepo zamani.....wakajashtukia kumbe humu duniani kumejaa usanii wakabadilika.....siku hizi imebaki kuuziana cheni feki na kulipana noti bandia lol.......ilimradi maisha yanasonga mbele.......ila sio kama hawapo kabisa.....wapo sema wakuhesabu!
 
Wakati mwingine wadada huwa wanamganda mwanaume kama ruba, haswa ukute hajawahi kuonjwa na mwanaume mwingine au katoka kutendwa na mwanaume....utajutaje, kila muda SMS, sijui FB kaweka picha yako na maneno kibao

Hahahaha jamani, jamani lol........kumbe kugandwa nako hampendi eeh?.......sasa asipokuganda utajuaje kama anakupenda?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…