For men: Hivi hii imekaaje?

mwanamke wife material huwa hahangaiki na mwanaume kicheche unless awe hajui sasa wewe unajua unataka ngoma?
 
Yaani hadi leo kuna mada za aina hii?
 

hapo, hajaanza kukuomba hela, yaani kila siku yeye anashida, wanaume wa kizazi hiki ni balaa tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…