okay nimekusoma!!!!haipo kwangu ila nawaona vijana wengi wanavoishi
Mbali kote huko kwa nini wakat mfano nnao kwa ex-boyfrnd wangu alinitenda kwa mama mtu mzima pindi nipo chuo nasoma. Namchukiaje sasa??? Eti ooh..shetan alinipitia,basi aendelee kumpitia ivo ivo tu
mwanamke ambaye ni "wife material" anaweza ondoka na kutafuta a better man. if he's not worth it, then dump his sorry
@$$
haipo kwangu ila nawaona vijana wengi wanavoishi
totally agree..
Husband material na wife material wapo,tafuta wa kulandana nae.
Nina mashaka na akili yako kusalitiwa kuna kuzoea nyie wanaume mna tamaa ya ngono na unzinzi wa ajabu basi na nyie msilalamike kushea eti mpo kidogo huna hata haya wewe basi hata wanawake tupo kidogo wingi si hoja kuna wanawake bora,na kuna bora wanawake,kama mlivyo nyoe wanaume kuna wanaume bora,na kuna bora wanaume,galasa wewe huna maana.
physics na psychology ni vitu viwili tofauti nduguNani alikuambia ncha mbili za sumaku zinazofanana uvutana?
physics na psychology ni vitu viwili tofauti ndugu
labda tungetumia methali or sayings..
Birds of the same feathers flock/fly together..
Kwenye relationships ndo maana kuna mke mwema na mume mwema sasa huo wema ni individual perception ndo maana nikamwambia atafute wa kulandana nae.
Kuna watu wanaoweza vumilia cheated,harassed etc na kuna watu hawawezi.
haipo kwako au hujangundua? Hata mtu aliyeathirika na VVU kabla ya kupima naye husema hivyo hivyo (haipo kwangu huwa nawaona tu watu wengine)
birds of the same feather flock togetherNani alikuambia ncha mbili za sumaku zinazofanana uvutana?
Wanaume tuko possessive na tunataka yote. Ukikutana na mwanaume akakwambia hataki 'sexual freedom' na vidosho huyo ni muongo, hanith au gay/
edit basi iwe unavotaka wewe/Mbona sasa Ndugu yangu ABDULHALIM, Jina lako halifanani na maneno yako,??
sasa akipendezeshwa si ndo ataonwa na huyo mdau alosema kwamba watoto wa kike wanapendeza eennnh? halafu ndo atatemewa hayo madini...!!!!Si na wewe umpendezeshe ulie nae jaman?? Usione vimeng'aa mkuu kuna kaz imefanyika hapo kati!!!