Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,175
- 34,410
aaah ok...na mimi sijui kama ninakidhi viwango vya maturity....
Hahaaaaaaa.
aaah ok...na mimi sijui kama ninakidhi viwango vya maturity....
ile ofa yake vipi naweza ipata mie
Zis wei please. Ila kesho job Light dose please.:evil:
I need a man ..am 23,degree holder,black chubby,if you are interested pm plz...
Before that,make sure you are good looking(physically,financially)above all very supportive...
Having me around wont get bored its a promise!
umeniacha kabisaaaa
Hahaaaaa....pole. Sijakutia machoni mda aisee.
na kweli aisee toka tuachane na wale nyani dume wanaokutaman pale kwako ndo imekua kimya kabisa
Yeah kuna kipindi nilipotea kidogo
au uliamua kumfuata alipo
Duh! Kuna vienglish vibovu kibao kwenye hii thread.
Waaaat, unataka kuniweka rehani? ?!!!Mkuu wangu nipo katika ku 'testi' maturity Kama OS atakidhi viwango namuunganisha na mtoa mada.
1.Kusema degree tu hakutoshi labda useme ulisomea kitu gani!?
2.Una GPA ya ngapi!?
3.Jina la shule uliyosoma primary, secondary, advance na chuo?
4. Umepimaa afya yako na hauna tatizo lolote?
5. Una fanya kazi au ni golikipa tu?
6. Umetoa mimba ngapi mpaka kufikia umri huo?
Waaaat, unataka kuniweka rehani? ?!!!
Umetisha mkuu, hadi GPA? kwa hali kuolewa shughuli
labda huna saliodada, mimi mbona unanipa wasiwasi?
Kwani tuliongea vipi?
Mbona umerudi ki vingine?
haya ndio mambo ya "NO MONEY NO SERVICE!" Sijui kama kutakuchaI need a man ..am 23,degree holder,black chubby,if you are interested pm plz...
Before that,make sure you are good looking(physically,financially)above all very supportive...
Having me around wont get bored its a promise!
Nahisi kama nimepita mtaa usio wangu. Nilitaka kwenda Samora, sasa naona nimetokea OHIO STREET