JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
sawa kabisa ila izo type of brackets kwangu hazipo
hizi bracket [] ndio zinazowezesha hii. Nitofauti kabisa na () ama {}
sawa kabisa ila izo type of brackets kwangu hazipo
hizi bracket [] ndio zinazowezesha hii. Nitofauti kabisa na () ama {}
sawa kabisa ila izo type of brackets kwangu hazipo
kijana acha kudanganya!! au unamaanisha nini unaposema hizo types of brackets kwako hazipo??
kijana acha kudanganya!! au unamaanisha nini unaposema hizo types of brackets kwako hazipo??
inategeme na aina ya simu.
Ondoa nyota**
- bold ni hivi [b*]text[/b*]
- underline ni hivi text[/u*]
[*]rangi
ni hivi text[/color*][*]
[*]link ni hivi hapa[/url*]
[*]kukata neno... Hi naona inazingua JF[/b]
ila nayo nitext[/s*]
kama unajua code zaidi unaweza tupia
duh hii ngumu.
sawa kabisa ila izo type of brackets kwangu hazipo
Mkuu ebu toa darasa la kuweka Smileys. Nimejaribu lakini nimepigwa knock out!
ni hivi mkuu 😎 Mkuu nurbert? :bathbaby:Smiles zpo kabao! Mfano
Hii :doh: andka :doh*:
Hii:ranger: andka :ranger*:
Hii😛opcorn: andka 😛opcorn*]
Hii:bathbaby: andka :bathbaby*]
Hii:sleepy: andka :sleepy*]
Hii😎 andka :cool*:
Hii:sad: andka :sad*:
Hii😡 andka :mad*:
Hii:angry: andka :angry*:
Hii:evil: andka :evil*:
Kumbuka kutoa *
(u)bado inazengua(/u)
Na mashaka na uwezo wako wa kutumia simu, sasa mpaka simu ina internet ikose symbols?? hebu mitajie simu ambayo haina hizi symnols =,/ na [ ]