Ami B Msafir
Senior Member
- Feb 23, 2015
- 100
- 33
Hahahahha dahhhh
labda umejaza pm, zifuteJaman mi mbona nikitaka ku PM mtu inakataa..., then hata kuangalia Baadh ya sms walizonitumia hazifunguki yaani zinaload tuu
kama kuna maujanja mengine lete tujifunzeCode za nini mbona hizo features tunazipata bila kukumbuka code zote hizo?
Highlight, bofya B juu huko una bold, yanini taabu na raha zipo?
Mim mgen humu JF ndo kwanza naanza kutumialabda umejaza pm, zifute