Hii kitu inachekesha sana inakuwa kama watu wanaongea kwenye simu kisha mmoja anamwambia mwenzake nataka uninunulie viatu kama hivi nilivyovaa wakati jamaa amwoni nasema hivi kwa sababu ukifanikiwa kutumia hiyo code aitokei ulivyo iandika ila inatokea kile kilicho badilika tu
Huyu aliye leta mada lazima awe chizi ajui kabisa kuelekeza kwa sababu ukitaka kumwelekeza MTU asiye jua jambo unatakiwa umwelekeze kutokana na kutokujua kwake siyo kujua kwako Mara ondoa mabano mara weka = Mara # Mara/ uchizi mtupu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.